Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI

MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani Bungeni jijini Dodoma Mei 28, 2019.

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akiteta na Naibu wa Waziri wake, Subira Mgalu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 28, 2019.

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akielekea kwenye eneo maalum la kusoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2019/2020, Bungeni jijini Dodoma, Mei 28, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Elimu ,Sayansi, Tekinolojina na  Ufundi, Profesa, Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma, Mei 28, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa akisalimiana na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu