SPIKA NDUGAI AONGOZA SHEREHE ZA AZIMISHO LA KUMBUKIZI YA MTEMI MKUU WA UGOGO PARAMOUNT CHIEF DAUDI SOLOMON MAZENGO CHALULA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na viongozi Mbali mbali wa dini alipowasili kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za azimisho la Kumbukizi…