Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN AJUMUIKA NAS WANANCHI WA MKOA WA KASKAZINI...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN AJUMUIKA NAS WANANCHI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA KATIKA FUTARI ALIYOWAANDALI IKULU NDOGO MICHEWENI PEMBA

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waumini wa Kiislama katika Sala ya Magharibi iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Kisiwani Pemba kabla ya kuaza kwa hafla ya Futari Maalum aliyowaandaliwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazi Pemba jana 17-5-2019.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni, kushoto Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na kulia Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Omar Khamis Othman, wakijumuika katika futari hiyo iliofanyika Ikulu Ndogo Micheweni Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)

WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika futari maalum aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni Kisiwani Pemba jana 17-5-2019.(Picha na Ikulu)

WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika futari maalum aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni Kisiwani Pemba jana 17-5-2019.(Picha na Ikulu)

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Pemba na kushoto Mshauri wa Rais Afisi ya Rais Pemba Dkt. Maus Abeid Daftari na kulia Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba Bi. Salama Mbarouk Khatib.(Picha na Ikulu)

WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, katika futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)

MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Omar Khamis Othman akitowa neno la shukrani kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Pemba,19-5-2019.(Picha na Ikulu)katika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Pemba,19-5-2019.(Picha na Ikulu)

WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa kwa hafla ya futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katrika viwanja vya Ikulu Ndogo Micheweni Pemba.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisoma na Sheikh Omar Hamad, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari ilioyanyika Ikulu Ndogo Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Ikulu)

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba,baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Kisiwani Pemba(Picha na Ikulu)