Home Michezo TFF KUFANYA UKAGUZIWAMWISHO UWANJA WA ILULU LINDI

TFF KUFANYA UKAGUZIWAMWISHO UWANJA WA ILULU LINDI

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) litafanya ukaguzi wa mwisho kwenye Uwanja wa Ilulu,Lindi Mei 23,2019.
Uwanja huo utakaotumika kwa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) upo kwenye marekebisho kama walivyoelekezwa na TFF.
TFF katika Ukaguzi huo itaangalia kama maelekezo yote yaliyotolewa yamefanyiwa kazi kama ilivyotakiwa.
Kufikia tarehe hiyo Uwanja unatakiwa kuwa tayari kwa mchezo wa Fainali itakayochezwa Juni 1,2019.
Mchezo wa Fainali utazikutanisha Azam FC ya Dar es Salaam na Lipuli FC ya Iringa