Home Michezo MAN CITY YAICHAPA 6-0 WATFORD NA KUTWAA TAJI LA TATU ENGLAND

MAN CITY YAICHAPA 6-0 WATFORD NA KUTWAA TAJI LA TATU ENGLAND

0

Nahodha wa Manchester City, Vincent Kompany akiwa ameinua Kombe la FA baada ya ushindi wa 6-0 dhidi ya Watford leo mabao ya Raheem Sterling matatu dakika za 38, 81 na 87, David Silva dakika ya 26, Kevin De Bruyne dakika ya 61 na Gabriel Jesus dakika ya 68 kwenye mchezo wa fainali Uwanja wa Wembley mjini London hilo likiwa taji la tatu msimu huu baada ya ubingwa wa Ligi Kuu England na Kombe la Ligi PICHA ZAIDI GONGA HAPA