Nahodha wa Manchester City, Vincent Kompany akiwa ameinua Kombe la FA baada ya ushindi wa 6-0 dhidi ya Watford leo mabao ya Raheem Sterling matatu dakika za 38, 81 na 87, David Silva dakika ya 26, Kevin De Bruyne dakika ya 61 na Gabriel Jesus dakika ya 68 kwenye mchezo wa fainali Uwanja wa Wembley mjini London hilo likiwa taji la tatu msimu huu baada ya ubingwa wa Ligi Kuu England na Kombe la Ligi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
MAN CITY YAICHAPA 6-0 WATFORD NA KUTWAA TAJI LA TATU ENGLAND
By Alex Sonna
May 19, 2019 | 8:30 am

Related Stories
View all
Michezo
3 hours ago
YANGA SC YASALIMU AMRI MBELE YA AZAM FC
Matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Yanga SC katika mchezo wa nusu…
Michezo
7 hours ago
KUNDI C LAFUKUTA ‘MOTO’ BRAZIL, MOROCCO NA SCOTLAND ZATAFUTA NJIA ZA KUFUZU
NA MWANDISHI WETU, NOEL RUKANUGA Katika michuano ya Kombe la Dunia 2026, huenda hakuna kundi lililoibua mvuto mkubwa kama Kundi C. Baada ya kila…
