Home Mchanganyiko KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA IRINGA

KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA IRINGA

0

Mkurugenzi wa halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Hamid Njovu akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa na madiwani katika kikao kawaida cha baraza hilo lilofanyika katika ukumbi wa manispaa. (Picha na Denis Mlowe)

Meya wa Manispaa ya Iringa Alex Kimbe akijibu hoja za madiwani wakati wa kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa.

Diwani wa kata ya Mwangata (CCM), Nguvu Chengula akichangia hoja katika baraza la kawaida la madiwani wa halmashauri ya Manispaa ya Iringa.

Madiwani wa halmashauri ya Manispaa ya Iringa wakiwa katika kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika ukumbi wa Manispaa. (Picha zote na Denis Mlowe)