- Advertisement -
Na Aisha Malima-Morogoro Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro inaendelea na kazi ya kuziba mashimo na kukarabati barabara kuu ya Morogoro – Iringa ikiwemo katika eneo la Kobogwa lilipo katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi ambapo kumetokea shimo kubwa baada ya maji kupita pembezoni mwa Kalvati. Akizungumza na Kipindi cha TANROADS Mkoa kwa Mkoa leo tarehe…
............................. NA MUSSA KHALID Wanamuziki wa Reggae nchini na Maeneo ya Ukanda ndani ya Bara Afrika wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika Tuzo za Muziki wa Reggae za KMCC Reggae Music Awards (KRMA III) zinazotarajiwa kufanyika Julai mosi mwaka huu. Akizungumza wakati wa utambulizo wa ujio wa Tuzo hizo kwa waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mwakilishi kutoka Baraza…
Kaimu Meneja wa SIDO Mkoa wa Shinyanga bw. Joseph Taban (kulia) akikagua Vihenge vilivyotengenezwa na Vijana walioshiriki mafunzo ya kutengeneza Vihenge yaliyotolewa na SIDO Mkoa wa Shinyanga kupitia Mradi wa Kuzuia Sumukuvu wa TANIPAC ulio chini ya Wizara ya Kilimo Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Jumla ya Vijana 58 kutoka mikoa ya Tabora, Mwanza, Geita na Simiyu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wananchi pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024. Gwaride la Heshima la Miaka 60 ya Muungano lililoandaliwa na Jeshi la…
Mkurugenzi wa Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amefika wilayani Rufiji na Kibiti kukagua na kufanya tathmini ya uharibifu wa miundombinu ya Afya iliyoharibika kutokana na Mafuriko. Akizungukq baada ya kukagua Kituo cha Afya Mohoro, Kata ya Mohoro wilayani amesema wamefika kituoni hapo kutekeleza maagizo ya Waziri Mchengerwa, ambaye aliwataka kufanya…
Na Prisca Libaga Arusha Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na Usalama, Mmiliki wa eneo hilo na Uongozi wa Serikali ya Mtaa wameteketeza Kijiwe Maarufu cha Matumizi ya Dawa za Kulevya kinachojulikana kama _"JUMBA LA DHAHABU"_ kilichopo Mtaa wa Tindiga, Kata ya Unga Limited jijini Arusha. Jumba…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu…
Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Kamishina msaidizi Mwandamizi Marco Chilya,akizungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake jana wakati akitoa taarifa ya kukamatwa kwa watu mbalimbali wanaojihusisha na vitendo vya uharifu mkoani humo. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma Kamishina msaidizi Mwandamizi Marco Chilya,akionyesha baadhi ya kompyuta Mpakato(Laptop)zilizokamatwa na Polisi kutoka kwa kinara wa wizi ya vifaa vya…
Confirmed
0
Death
0
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo, akizungumza wakati akifunga mkutano wa 37 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara…
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) akijibu swali bungeni jijini Dodoma la Mheshimiwa Felista Deogratius Njau, Mbunge Viti Maalum aliyetaka kufahamu hatua zinazochukuliwa na Serikali kwa Taasisi…
Sign in to your account