Timu ya Taifa ya DR Congo imeondolewa kwenye Kombe la Dunia 2026 baada ya kufungwa mabao 2-1 na England katika mchezo wa hatua ya 32 bora.

Kutokana na ushindi huo, England imefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya michuano hiyo mikubwa duniani.