DKT MWIGULU: SERIKALI INAENDELEA KUIMARISHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya biashara, uwekezaji na viwanda kwa kufanya mageuzi ya sera, sheria, kanuni na mifumo…