Nilikuwa mrembo wa kawaida, mwenye ndoto za kawaida kama msichana mwingine yeyote: kupata kazi nzuri, kuolewa na mtu anayenipenda kweli, na kuanzisha familia yenye furaha. Lakini maisha yaligeuka kuwa hadithi ya maumivu. Kila mwanaume niliyempenda kwa moyo wangu wote, alinigeuka.

Wengine waliniacha ghafla, wengine walinidanganya hadharani, na wapo waliokuja tu kunitumia kisha kunitupa kama si kitu. Ilifika wakati niliamini labda kuna kitu kibaya ndani yangu au laana flani imenikumba. Nakumbuka nilivyopenda sana Jamaal, mvulana wa benki aliyekuwa ananionesha upendo wa dhati.

Nilidhani hatimaye nimepata wangu wa milele. Lakini baada ya mwaka mmoja wa uhusiano, niligundua ana mpenzi mwingine. Nililia sana, nikashindwa kula wala kulala. Kilichonifanya niamini sina bahati na mapenzi ni pale hata baada ya Jamaal kuniomba msamaha, bado aliniacha kwa mwanamke yule yule aliyekuwa akimsaliti naye.

Muda ukaenda. Nikajaribu na mwingine, na mwingine tena. Lakini historia ilikuwa ile ile. Aidha wananitumia, au wananikimbia bila maelezo. Mama yangu alianza kuniambia labda kuna kitu kisichoonekana kinaniandama, maana nilikuwa na kila sifa nzuri ya mke mpole, mchapakazi, mrembo, na mwenye heshima….. SOMA ZAIDI