SERIKALI YASUKUMA MAGEUZI YA UTUMISHI WA UMMA, YATAKA MATUMIZI MAKUBWA YA TEKNOLOJIA
Serikali imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha utumishi wa umma kwa kuzingatia matumizi ya teknolojia, uwajibikaji na ufanisi ili kuboresha utoaji wa huduma kwa…