MHE. BALOZI OMAR ATETA NA VIONGOZI WA HABIB AFRICAN BANK
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Habib African,…
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Habib African,…
Na Maelezo Zanzibar 06.05.2026 Matumizi ya nishati safi ya kupikia imeendelea kuleta mafanikio katika jamii ambapo wananchi wa kijiji cha Bumbwini Kiyongwe wanamefaika kiafya,…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali imeweka wazi mpango wa utekelezaji wa mfumo wa elimu ya lazima ya miaka kumi ambao unalenga…
Tanga Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Mhandisi Juma Hamsini amesema utekelezaji wa mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) katika Jiji la Tanga…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali itaendelea kuongeza fursa kwa wanafunzi wa…
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof . Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali itaendelea kuimarisha sekta ya elimu…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf F. Mkenda (Mb.) amesema kuwa Serikali imeendelea kuwekeza katika…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf F. Mkenda, amesema kuwa Serikali imeendelea kuimarisha elimu ya…
Wakazi wa Karatina, Kaunti ya Nyeri, walijikuta katika hali ya mshangao baada ya tukio lisilo la kawaida kuripotiwa karibu na eneo la mahakama. Kundi…
Katika mazingira ya ushindani mkubwa wa kibiashara, wajasiriamali wengi wanatafuta njia mbalimbali za kuboresha utendaji wa biashara zao. Mbali na mikakati ya kawaida kama…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeiomba Serikali kuidhinisha jumla ya takribani Sh trilioni 2.3 kwa ajili…
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) pamoja na wadau mbalimbali wameshiriki mjadala wa jopo la meza ya duara uliofanyika katika siku ya mwisho…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali imeendelea kuimarisha matumizi ya TEHAMA…
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali imeendelea kuwekeza katika maendeleo ya vijana…
*Asema ni Mradi wa kimkakati wenye fursa za kiuchumi kwa maslahi mapana ya nchi *Amtaka Mkandarasi kukamilisha mifumo ya upokeaji umeme kutoka TANESCO Mkuu…
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, akijibu swali bungeni Jijini Dodoma Mei 7, 2026 wakati wa kikao cha 24,…
Na Mwandishi Wetu,Mbinga MKOA wa Ruvuma kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, umejipanga kuongeza uzalishaji wa zao la kahawa kutoka tani 26,088.05 za msimu 2025/2026…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mfumo wa sheria na sera maalum zitakazosimamia huduma za…
Bungeni, Dodoma…! Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof. Adolf Mkenda amewasili bungeni jijini Dodoma ambapo leo tarehe 7 Mei 2026 atawasilisha makadirio…
📌Ashiriki Kongamano la Sekta ya Madini na Nishati nchini Msumbiji* Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Felchesmi Mramba,…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. John Jingu, amepokelewa rasmi na Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Dkt. Juma Homera kufuatia uhamisho…
Klabu ya PSG ya Ufaransa imetinga fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuingoa Bayern Munic kwa jumla ya mabao 6-5. PSG itamenyana na…
Meneja Mwekezaji wa Bohari ya Mafuta ya MOIL Energies Dkt Sajad Habib Rai, amesema Serikali ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua kuhakikisha mafuta yanaendelea kupatikana…
Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Wizara ya Maji ya Sh trilioni 1.12…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde kwenye picha na Ujumbe…
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliopigwa leo, Mei 6, 2026, kwenye…
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akifurahia jambo na mwanafunzi wa darasa la 6 Jenipher Mwita Chaha, wa Chemchemi Nursery and Primary School iliyopo Nkuhungu…
Dakika chache baada ya Yanga kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC, uongozi wa timu hiyo leo Jumatano, Mei 6, 2026 umetangaza kumfuta…
Serikali imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha utumishi wa umma kwa kuzingatia matumizi ya teknolojia, uwajibikaji na ufanisi ili kuboresha utoaji wa huduma kwa…
Na Mwandishi wetu, Simanjiro WEZI wawili wamehukumiwa na mahakama ya mwanzo Shambarai wilayani Simanjiro mkoani Manyara, kifungo cha miaka mitano jela kila mmoja kwa…
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Bi Emma Komba, akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha kufanya mapitio…
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (hayupo…
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans SC, wameibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya KMC FC katika mchezo wa…