TEMESA YAHAMISHIA RASMI MAKAO MAKUU YAKE DODOMA
************ TAARIFA KWA UMMA Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) unapenda kuhabarisha Umma kuwa umehamishia rasmi ofisi yake ya makao makuu mjini DODOMA katika…
************ TAARIFA KWA UMMA Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) unapenda kuhabarisha Umma kuwa umehamishia rasmi ofisi yake ya makao makuu mjini DODOMA katika…
************ Serikali za Tanzania na Uganda zinatekeleza ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha kufua umeme wa maji wa Kikagati-Murongo, uliopo kwenye mto…
……………………………. Na Mwandishi Wetu BENKI ya Biashara ya DCB imesema itaendelea kushirikiana kwa karibu zaidi na manispaa mbalimbali nchini na kwa sasa ikija na…
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(kulia) akimvalisha cheo Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Lipina Lyimo kuwa Kamishina Msaidizi wa Magereza katika hafla fupi iliyofanyika…
Mfugaji wa Kijiji cha Vilima Vitatu Wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara, Dorcas Buyase akilia kwa uchungu mbele ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi,…
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Rose Tweve akihutubia baadhi ya viongozi wa chama cha mapinduzi wa jimbo…
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, Simiyu WAZIRI wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga amesema Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko ni mkombozi kwa wakulima…
Na. Edward Kondela Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeweka mikakati ya upatikanaji wa vifaranga vingi vya samaki pamoja na chakula bora cha samaki sambamba…
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu akionesha eneo la Pori Tengefu akiwa kwenye kigingi ambacho ni mpaka kati ya eneo la Kihurumira…
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba, Morris Limbe kumlipa fedha Mkandarasi anayekarabati shule ya…
Mtoa huduma za afya katika Wilaya ya Buhigwe akinawa kwa maji safi yaliyochanganywa na kemikali ya “Chlorine” mara baada ya kutoka kumhudumia mgonjwa wa…
Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akikagua moja ya magari mawili ya majitaka ya Mradi wa Majitaka wa Manispaa ya Musoma Mjini unaotekelezwa na…
Meddie Kagere akichuana vikali na mchezaji wa timu ya Power Dynamos ya Zambia Fredrick Mulamba katika mechi iliyowakutanisha Simba CP dhidi ya Power Dynamo…
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe.Christina Mndeme akiongea na wafanyakazi wa kampuni ya OSHA baada ya kutembelea banda hilo katika Maonesho ya Nane Nane…
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Kushoto) akiwa na Waziri Mkuu mstaafu wa awamu ya nne Mhe Mizengo Pinda (Katikati) wakati wa ukaguzi wa…
Wananchi wakipata huduma katika Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kaskazini mkoani Arusha.Wanafunzi na Wananchi wakipata wakipata maelezo katika banda la TCRA katika Maonesho ya…
************** Na gladness mushi arusha Wadau wa viwanda vya kutengeneza mvinyo kwa mkoa wa Arusha wameiomba serikali hususani sekta ya kilimo kuhakikisha kuwa wanawekeza…
************** NA GLADNESS MUSHI ARUSHA watanzania wameshauriwa kuchanghamkia fursa zilizopo katika zao la radishi ambalo kwa sasa lina uhuitaji mkubwa sana kwenye mahitaji ya…
WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga Ummy Mwalimu katika akikata utepe kuashiria…
************** Na gladness mushi Arusha Watanzania pamoja na wadau wa nyama hapa nchini wameshauriwa kujiwekea utaratibu wa kula nyama ambayo imetunzwa vema kwenye ubaridi…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mashabiki na wapenzi wa timu ya Soka ya Simba wakati alipoingia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam…
Afisa Sheria wa Bunge Ndg. Mossy Lukuvi akitoa Elimu kwa Wagenin waliotembelea banda la Bunge hii leo kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayoendelea…
Kikundi cha ngoma kutoka Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kutoa burudani kwa wageni mbalimbali…
NA MWAMVUA MWINYI,MAFIA WATU sita wamenusurika kifo kufuatia ndege ndogo iliyokuwa ikitoka wilayani Mafia ,mkoani Pwani kuelekea Jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa…
BANDARI Maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Dar es Salaam yanakwenda vizuri ambapo ujenzi wa magati 2 kati ya 7 yaliyopo umekamilika na kuanza…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa George Lous Chuwa kuhusu bidhaa mbalimbali wakati alipotembelea banda la Sekretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini…
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na makamanda wa Polisi hawapo pichani toka mikoa 35 Tanzania Bara na Visiwani katika…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mhe. George Boniface Simbachawene leo Agosti 6, 2019 ametembelea Ofisi ya Makamu wa Rais…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima (wa pili kulia) akiangalia namna dhahabu inavyochenjuliwa na Bi. Mary Matiko…
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa (Bohari ya Dawa) MSD Laurean Rugambwa Bwanakunu wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo leo…
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Khatibu Kazungu (kushoto), akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Fedha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania-…
Watumishi wa Idara ya afya Ustawi wa Jamii na Lishe kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wakimsikiliza Naibu Katibu…
Na. Edward Kondela Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetoa wito kwa wananchi hususan wafugaji kuchanja ng’ombe wao dhidi ya ugonjwa wa mapafu…
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na Wanufaika wa Mpango wa…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mhe. George Simbachawene akizungumza katika kikao na viongozi mbalimbali na watendaji kutoka Serikali ya…