Home Mchanganyiko MAAFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWENYE MAONESHO YA NANENANE

MAAFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWENYE MAONESHO YA NANENANE

0
Afisa Sheria wa Bunge Ndg. Mossy Lukuvi akitoa Elimu kwa Wagenin waliotembelea banda la Bunge hii leo kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma.
Afisa Utafiti  wa Bunge Ndg. Aziza Makwai akitoa Elimu kwa mgeni aliyetembelea banda la Bunge hii leo kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)