Home Uncategorized WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA MABANDA KATIKA MAONESHO YA 4 YA BIASHARA...

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA MABANDA KATIKA MAONESHO YA 4 YA BIASHARA KWA NCHI ZA SADC LEO JIJINI DAR ES SALAAM

0

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa (Bohari ya Dawa) MSD  Laurean Rugambwa Bwanakunu wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo leo Jumanne Agosti 6, 2019 katika maonesho ya 4 ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika  kwenye ukumbi wa Julius Nyerere Conference Centre jijini Dar es salaam

(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akimuuliza jambo Mkurugenzi Mkuu wa (Bohari ya Dawa) MSD  Laurean Rugambwa Bwanakunu wakati aliopotembelea banda la taasisi hiyo leo Jumanne Agosti 6, 2019 katika maonesho ya 4 ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika  kwenye ukumbi wa Julius Nyerere Conference Centre jijini Dar es salaa, Katikati ni Mkurugenzi wa TANTRADE Bw. Edwin Rutageruka.

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa (Bohari ya Dawa) MSD  Laurean Rugambwa Bwanakunu wakati aliopotembelea banda la taasisi hiyo leo Jumanne Agosti 6, 2019 katika maonesho ya 4 ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika  kwenye ukumbi wa Julius Nyerere Conference Centre jijini Dar es salaam, Katikati ni Mkurugenzi wa TANTRADE Bw. Edwin Rutageruka.

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa  Eti Kusiluka Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano  (Bohari ya Dawa) MSD  wakati aliopotembelea banda la taasisi hiyo leo Jumanne Agosti 6, 2019 katika maonesho ya 4 ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika  kwenye ukumbi wa Julius Nyerere Conference Centre jijini Dar es sala, Katikati ni Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Innocent Bashungwa.

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akimsikiliza Bw. Ernest Mwamwaja Mkurugenzi wa Masoko Bodi ya Utalii (TTB) wakati alipotembelea kwenye banda la Maliasili katika maonesho ya 4 ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayoendelea katika ukumbi wa Julius Nyerere Conference Centre jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akimsikiliza Bw. Ernest Mwamwaja Mkurugenzi wa Masoko Bodi ya Utalii (TTB) wakati akitoa maelezo alipotembelea kwenye banda la Maliasili katika maonesho ya 4 ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayoendelea katika ukumbi wa Julius Nyerere Conference Centre jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la ATCL wakati alipotembelea kwenye banda la shirika hilo  katika maonesho ya 4 ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayoendelea katika ukumbi wa Julius Nyerere Conference Centre jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akimsikiliza Kaimu Mkuu wa kKitengo cha Mawasiliano Shirika la Reli Bi. Jamila Mbarouk wakati alipotembelea kwenye banda la TRC katika maonesho ya 4 ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayoendelea katika ukumbi wa Julius Nyerere Conference Centre jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na  Bw. Focus Mroso Meneja Mwandamizi wa Mahusiano Makampuni Makubwa Benki ya CRDB  wakati alipotembelea kwenye banda hilo katika maonesho ya 4 ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayoendelea katika ukumbi wa Julius Nyerere Conference Centre jijini Dar es salaam, Katikati ni Nuru Kateti Meneja Mahusiano Taasisi za Serikali.

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akimsikiliza Bw. Focus Mroso Meneja Mwandamizi wa Mahusiano Makampuni Makubwa Benki ya CRDB  wakati alipotembelea kwenye banda hilo katika maonesho ya 4 ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayoendelea katika ukumbi wa Julius Nyerere Conference Centre jijini Dar es salaam, Katikati ni Nuru Kateti Meneja Mahusiano Taasisi za Serikali Katikati ni Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Innocent Bashungwa na kushoto ni Waziri wa Mambo ya nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Paramagamba Kabudi.