WAZIRI MKUU: MAONESHO YA SADC NI FURSA PEKEE KWA WATANZANIA
By Alex Sonna
August 6, 2019 | 1:54 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
3 hours ago
NAIBU WAZIRI MAGHEMBE AMUAGA BALOZI WA ETHIOPIA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe (Mb.), amekutana na Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania, Mhe.…
Mchanganyiko
5 hours ago
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa George Lous Chuwa kuhusu bidhaa mbalimbali wakati alipotembelea banda la Sekretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Maonyesho ya Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa Nchi za SADC kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 6, 2019. Wapili kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi.



