Home Mchanganyiko WAZIRI SIMBACHAWENE AFIKA OFISI ZA ZANZIBAR

WAZIRI SIMBACHAWENE AFIKA OFISI ZA ZANZIBAR

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mhe. George Boniface Simbachawene leo Agosti 6, 2019 ametembelea Ofisi ya Makamu wa Rais Tunguu, Zanzibar na kuzungumza na watumishi ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kujitambulisha na kukagua miradi.