WASHAURIWA KUTUMIA ZAHANATI YA MABATINI WANAPOUGUA
Na Hellen Mtereko,Mwanza Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mabatini, mkoani Mwanza, Mrakibu wa Polisi (SP) Daktari Steven Kisaka, amewashauri wakazi wanaoishi karibu na zahanati…
Na Hellen Mtereko,Mwanza Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mabatini, mkoani Mwanza, Mrakibu wa Polisi (SP) Daktari Steven Kisaka, amewashauri wakazi wanaoishi karibu na zahanati…
*Asema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia ni kiongozi mbunifu na wa vitendo WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni…
Na Mwamvua Mwinyi, Rufiji Mwenge wa Uhuru umeonesha kuridhishwa na utekelezaji wa miradi saba wilayani Rufiji mkoani Pwani, ukiwemo mradi wa barabara ya Chumbi–Kiegele…
Mwamvua Mwinyi, Rufiji Aprili 26, 2026 Mwenge wa Uhuru wahimiza na kuhamasisha wananchi kuunga mkono matumizi ya nishati safi ikiwemo gesi ya kupikia, majiko…
Na Mwandishi Wetu PWANI, Aprili 26, 2026 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amewahimiza wananchi wa mkoa huo pamoja na Watanzania kwa ujumla…
OFISI ya Makamu wa Rais imebuka mshindi wa nafasi ya tatu kupitia mchezo wa karata upande wa wanawake katika Mashindano ya Michezo ya Mei…
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Zacharia Kafulila, amesema kuwa Muungano wa Tanzania…
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akiwa na viongozi mbalimbali wakishuhudia mechi ya nusu fainali kati ya Timu ya Yanga…
ASISITIZA MALEZI BORA KWA WATOTO KWA MANUFAA YA TAIFA APONGEZA JUKWAA LA TUZO ZA MALKIA WA NGUVU Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano…
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameshiriki ibada ya Jumapili, leo, Aprili 26, 2026, katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki…
Dar es Salaam Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imekagua utekelezaji wa ujenzi wa barabara za zenye urefu…
Pembezoni mwa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 40 ya Utawala wa Mfalme Mswati III, mjini Ezulwini, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…
📍 Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ametunukiwa Tuzo ya Utumishi wa Umma katika kilele cha utoaji wa Tuzo za…
*Yasifiwa kwa mafanikio ya upandaji miti, yaungwa mkono vita ya tabianchi Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam DAR ES SALAAM: Magereza ya Ukonga yamepongezwa…
Na OWM TAMISEMI, Longido-Arusha Kilio cha muda mrefu cha wanafunzi wa Shule ya Sekondari Longido cha kutokuwa na bwalo la kisasa kimepata ufumbuzi baada…
Wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga wanaofanyia shughuli zao katika Soko la Machinga Complex jijini Dodoma wamepatiwa elimu ya matumizi sahihi ya nishati safi ya…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameongoza kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imepokea vifaa vya kisasa vya uchunguzi wa kimaabara…
NIRC Dodoma. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imefanya tafrija ya mwaka wa fedha 2025/26 huku ikitoa wito kwa watumishi kuongeza umoja, mshikamano na uwajibikaji…
Chama cha Wafanyakazi Serikali za Mitaa (TALGWU), tawi la RUWASA, kimefanya mkutano mkuu wa uchaguzi wa viongozi wapya ambapo Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Mhandisi…
Rais wa Taasisi ya Wanaume Tanzania (Men at work Global) Maxwell Shing’oma akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Jijini Mwanza ……… Na Hellen…
Na Mwamvua Mwinyi, Kibiti JUMLA ya miradi nane yenye thamani ya shilingi bilioni 3.916 imepitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru wilayani Kibiti, mkoani…
●Ni kuepukana na mifumo ya utoroshaji madini ●Kuzingatia Utunzaji wa mazingira ●Ulinzi wa Wachimbaji Wadogo Dodoma Viongozi wa Wachimbaji Wadogo wa Shirikisho la Wachimbaji…
NA DENIS MLOWE,IRINGA MKUU wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amezindua rasmi bonanza kubwa la watumishi lililofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu Kishiriki cha…
Baadhi ya walimu wanawake ambao ni wanachama wa Chama cha walimu(CWT)walioshiriki bonanza la michezo wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Ruvuma Kalimeje Sandali(hayupo…
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma Denis Masanja,akikabidhi funguo ya pikipiki kwa mwenyekiti wa Chama kikuu cha ushirika (Tamcu) Musa Manjaule kwa ajili…
Na. John Bukuku- Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa maelekezo kwa Wizara ya Mifugo…
Waziri wa Maliasili na Utalii, Ashatu Kijaji (Mb), akikagua Hoteli ya Rift Valle wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya miundombinu ya malazi katika…
Na Silivia Amandius. Bukoba Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Ndg. Faris Buruhan, ametoa wito kwa vijana kuzingatia umoja, ushirikiano na kulinda amani ya…
KAHAMA Serikali kupitia Tume ya Madini imesema itaendelea kutoa bei elekezi za madini ya dhahabu, shaba na fedha kila siku itakayotumika kwenye masoko na…
Na John Bukuku, Dodoma Bohari ya Dawa (MSD) imesema imeendelea kuboresha mfumo wa ununuzi wa bidhaa za afya nchini kwa kutumia mikataba ya muda…
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais, Zanzibar Bi. Shumbana Taufiq alipowatembelea…
Dar es Salaam, Mauzo ya EFTA Corporate Bond yamekamilika kwa mafanikio makubwa, yakikusanya Sh33.04 bilioni dhidi ya lengo la awali la Shilingi 15 bilioni,…
Na Atley Kuni, WAF-Dodoma Serikali imetangaza mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria nchini, huku takwimu zikionesha kupungua kwa maambukizi kwa asilimia…
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius J. Ndejembi, pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba wamekutana na Viongozi wa Wizara pamoja na Taasisi…