ASILIMIA 10 YAENDELEA KUZAA MATUNDA, MWENGE WAZINDUA BASI LA VIJANA MKURANGA
Na Mwamvua Mwinyi, Mkuranga KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo Mwang’onda, amezindua mradi wa basi dogo la kikundi cha vijana wanane…
Na Mwamvua Mwinyi, Mkuranga KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo Mwang’onda, amezindua mradi wa basi dogo la kikundi cha vijana wanane…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. James Millya (Mb.), amemwakilisha Rais wa Jamhuri…
Katikati ni Naibu waziri wa uchukuzi David Kihenzile katika uzinduzi wa kiwanja cha ndege cha Sumbawanga Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika uzinduzi wa kiwanja…
Na John Bukuku – Dar es Salaam Kituo cha NuLife Advanced Fertility Centre kinaendelea kujijengea sifa kama mtoa huduma kinara wa tiba za uzazi…
Na WMJJWM – Dodoma Wajumbe wa kikundi kazi cha utekelezaji wa eneo namba moja la kuimarisha uchumi wa kaya chini ya Mpango wa Taifa…
*Lengo ni kuongeza tija kwa wachimbaji wadogo *Yashauriwa kufufua mpango wa Benki ya Madini *FEMATA kufaidika na Utafiti wa kina Dodoma Shirikisho la Vyama…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa Wakazi wa Dunga mkoa wa Kusini Unguja…
Maji ya kimataifa ni moja ya rasilimali inayoleta amani katika nchi mbalimbali zinazonufaika na wananchi wake. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ( Mb)…
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imepekuwa Mikataba 2,562 ya Kitaifa, Kikanda na Kimataifa , katika kipindi cha kuanzia Julai 2025 hadi Machi 2026.…
Na Maelezo Zanzibar 24.04.2026 Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Balozi, Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema ujenzi wa maabara ya…
Kaimu Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Saleh Juma Mussa akisaidiwa akiongoza kikao cha Makatibu Wakuu wa Wakuu wa Serikali…
Meya wa Jiji la Mwanza, Sima Constantine Sima, ambaye ndiye Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa nchini (ALAT) akizungumza na waandishi wa…
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Cecilia Paresso, aliyetaka kujua lini Serikali…
Na.Sophia Kingimali. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amesema Nchi imejipanga vizuri kuhakikisha inalinda na kuendeleza vyanzo vya maji kwa maslahi ya wananchi. Hayo ameyasema…
Meya wa Jiji la Mwanza, Sima Constantine Sima, ambaye ndiye Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa nchini (ALAT) akizungumza na waandishi wa…
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo, akizindua rasmi kampeni ya “Linda Ushirika, Chagua Uadilifu” Aprili 24,2026, jijini Dodoma katika Mkutano wa Wadau wa Maendeleo…
Arusha Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff, amefungua mafunzo ya siku tatu yenye lengo la kuwajengea…
Na. John Bukuku- Dodoma Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (MSD) Kanda ya Dodoma, Bi. Mwanashe Juma, amesema kuwa, kwa kushirikiana na…
📍 DODOMA BODI ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imeandaa mkutano maalum utakaowakutanisha wakuu wa vitengo, wakurugenzi pamoja na mameneja wa ununuzi na…
Serikali Kupitia ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI imeeleza kuwa ipo katika hatua za kuanza ujenzi wa soko la kisasa la mnada wa mifugo…
📍KAHAMA Serikali imewataka Wakaguzi Wakuu wa Migodi pamoja na Mameneja wa Migodi nchini kuwa mabalozi wa utekelezaji wa sheria, kanuni za madini na kuwa…
Mfamasia kutoka Kitengo cha Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini katika Bohari ya Dawa (MSD), Bwiro Magesa, amewasilisha mada kuhusu mafanikio na mwelekeo wa taasisi hiyo…
Na Mwandishi Maalum, Tunduru WAKULIMA wilayani Tunduru,wamekipongeza chama kikuu cha ushirika(TAMCU)kwa kununua magari makubwa mapya matano ya kubebea mizigo ambayo yatasaidia kupunguza adha ya…
Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Mavere Tukai, amesema kuwa ushirikiano kati ya taasisi hiyo na wanahabari ni muhimu katika kuhakikisha wananchi wanapata…
Na Mwandishi Wetu, Kakonko Mnamo Aprili 21, 2026, katika Mahakama ya Wilaya ya Kakonko, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mhe. A. J. Kyamba (SRM),…
Na Mwamvua Mwinyi, Kisarawe Aprili 23, 2026 KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo Mwang’onda, ameipongeza Wakala wa Maji na Usafi wa…
Na Sophia Kingimali,Dar es salaam. Waziri wa Nchi ofisi ya waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Deus Sangu amewataka waajiri na wafanyakazi nchini kuzingatia…
NIRC Dodoma Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, amezindua Baraza la Sita la Wafanyakazi la Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), huku akitoa…
Farida Mangube, Morogoro RASI wa Ndaki ya Kilimo katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA, Dkt. Nyambilila Amuri amesema chuo hicho kinaendelea kuimarisha…
Na Sixmund Begashe, Njombe Timu ya Maliasili Sports Club ya Pool Table wanaume imewachachafya wapinzani wake katika Michezo ya Mei Mosi Mkoani Njombe hali…
Na OWM-TAMISEMI, Arusha Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Bw. Sospeter Mtwale amewataka viongozi wapya…
Akizungumza kwa niaba ya Mganga Mkuu wa Serikali wakati wa uzinduzi wa mradi huo, Dkt. Gunini Kamba iliyofanyika Leo April 24, 2026 jijini Dar…