Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akiwa na viongozi mbalimbali wakishuhudia mechi ya nusu fainali kati ya Timu ya Yanga SC dhidi ya Azam FC katika mashindano ya Kombe la Muungano inayofanyika katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar tarehe 25 Aprili, 2026.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi 1,000,000 kwa kiungo wa Yanga SC Dukr Abuya aliyechaguliwa kuwa nyota wa mchezo mara baada ya mechi ya nusu fainali ya Kombe la Muungano dhidi ya Yanga SC iliyochezwa Aprili 25, katika dimba la Amaan, Zanzibar. Zawadi hiyo imetolewa na Chuo cha Afya cha Zanziba
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe. Hamza Hassan Juma (wa pili kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi 500,000 kwa beki wa Azam FC Fuetes Mendoza aliyechaguliwa kuwa mchezaji aliyeonesha mchezo wa kiungwana zaidi (fair play) mara baada ya mechi ya nusu fainali ya Kombe la Muungano dhidi ya Yanga SC iliyochezwa Aprili 25, katika dimba la Amaan, Zanzibar. Zawadi hiyo imetolewa na Chuo cha Afya cha City Institute of Health Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Juma Salum




