NIT YAZALISHA WATALAAMU WA SGR NA USAFIRI WA MAJINI
Na Baraka Messa – MAELEZO Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimesema kinaendelea kupanua wigo wa mafunzo kwa kuanza kuzalisha wataalam wa kada mbalimbali…
Na Baraka Messa – MAELEZO Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimesema kinaendelea kupanua wigo wa mafunzo kwa kuanza kuzalisha wataalam wa kada mbalimbali…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametembelea Banda la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB)…
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeteketeza hekari 3,117.9 za mashamba ya bangi na kukamata watuhumiwa 12 katika operesheni maalum…
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema Serikali itaendelea kuimarisha sekta…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi viongozi, Nyenzo za Utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050…
NIRC: Dodoma Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), inaendelea na utekelezaji wa Mkakati mkubwa wa kuimarisha kilimo cha Umwagiliaji nchini kwa kuzindua…
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza jambo wakati wa alipofanya Mkutano na Wanahabari, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha…
NA DENIS MLOWE, IRINGA MKUU wa Wilaya ya Iringa Benjamin Sitta imezindua rasmi maandalizi ya maadhimisho ya jubilee ya miaka 100 ya Shule ya…
Meneja Mkuu wa kampuni hiyo Adil Butt wakati akizungumza katika maonesho ya nanenane katika viwanja vya Themi Njiro Happy Lazaro,Arusha . Arusha .WAFUGAJI nchini…
Afisa masoko wa kampuni hiyo Moses Vikael akizungumza katika mbio za Redcross Marathon Arusha zilizofanyika katika uwanja wa Stadium jijini Arusha . Happy Lazaro,Arusha.…
Afisa Uzalishaji wa Mbegu wa kampuni ya Kibo Seed Co.Ltd ,Marko Msheishiwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya nanenane yanayoendelea katika viwanja…
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Clement Sangu akikagua mradi wa ujenzi wa Bandari ya Uvuvi…
Afisa kilimo kutoka Bodi ya Pamba Tanzania Dotto Ntumba akionesha baadhi ya vitu ambavyo wanavitumia kutolea elimu katika maonesho ya Nanenane Jijini Mwanza Na…
Na. Fullshangwe Blog, Dodoma BENKI ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) imeendelea kuwawezesha wajasiriamali na wawekezaji wa sekta ya kilimo kupitia utoaji wa mikopo, hatua…
Wananchi mbalimbali wametembelea katika banda la Taasisi ya Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) inauoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane yanayoendelea…
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafadh Ameir, amesisitiza nafasi muhimu ya wanawake wanataaluma katika kufanikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo…
3 Agosti 2026, Dodoma. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inashiriki katika maonesho ya NaneNane 2026 yanayofanyika kuanzia tarehe 1 hadi 8 Agosti…
Bodi ya Bima ya Amana (DIB) imewataka wananchi kutumia fursa ya Maonesho ya Nanenane kutembelea banda la DIB ili kupata elimu kuhusu ulinzi wa…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. James Kinyasi Millya (Mb.), ametembelea Maonesho ya…
📍 DODOMA Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Needpeace Wambuya, amepongeza kasi ya utekelezaji wa majukumu ya…
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (MB), akipokelewa na Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, wakati alipowasili katika Viwanja vya Dk.…
MKUU wa Kampasi ya Dodoma wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Prof. Epaphra Manamba,akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 2,2026 kwenye banda la chuo hicho…
NA DENIS MLOWE – DAR ES SALAAM VICTORIA Group (VG) imetangaza kuandaa mbio za afya za VG Fun Run zitakazofanyika Agosti 8, 2026 katika…
Meneja wa EWURA Kanda ya Magaharibi, Mha. Karim Ally(kushoto) akitoa maelezo ya majukumu yanayotekelezwa na Mamlaka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Mh. Dkt.…
Na Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma WAZIRI wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, ameipa mwelekeo mpya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa…
*Awataka watumishi kutimiza wajibu wao Dodoma, Agosti 2, 2026 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewahimiza watendaji DKT. Serikali kuwahudumia kikamilifu Watanzania ili miradi inayojengwa…
Na Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) imeeleza kuwa matumizi ya mifumo ya kidijitali katika vyama vya ushirika yameleta mapinduzi makubwa…
*Atembelea Banda la Maliasili na Utalii Maonesho ya Nane Nane *Asema rasilimali za utalii zinaangaliwa na wengi hivyo ni budi kuenziwa *Aipongeza Wizara kwa…
Serikali imeipongeza Azania Group kwa kutimiza miaka 25 ya mafanikio katika sekta ya viwanda na biashara, huku ikieleza kuwa kampuni hiyo imeendelea kuwa mfano…
Na Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma WAZIRI wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Omar , amesema kuwa mafanikio yanayoendelea kushuhudiwa katika sekta za kilimo, mifugo na…
Na Meleka Kulwa – Fullshangwe Blog, Dodoma WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo, amesema kuwa Serikali itaendelea kuimarisha sekta ya utafiti wa kilimo ili…
Kiongozi wa Itifaki na usalama Mkoa wa Dar es salaam Taasisi ya Tanzania Peace Family (TPF) Ediga Ishemujabi akizungumza katika kikao cha wajumbe wa…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) unashiriki Maonesho ya Nanenane 2026 yaliyozinduliwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya…
Na. WMA- DODOMA Wakala wa Vipimo (WMA) imetoa elimu kwa wajasiriamali wanaoshiriki Maonesho ya Nane Nane Kitaifa yanayofanyika katika Viwanja vya Dkt. John Malecela…
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Peter Mwasalyanda, amewapongeza wanafunzi waliowakilisha Tanzania katika Mashindano ya Hisabati ya Afrika (PAMO) na Mashindano…