Top Stories
View all
TRA IRINGA YATANGAZA WIKI YA SHUKRANI KWA MLIPAKODI NA MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA TRA
NA DENIS MLOWE IRINGA MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Iringa imezindua rasmi ratiba ya matukio yatakayofanyika kuanzia Juni 22 hadi Juni 27,…
MKUU WA WILAYA YA UKEREWE AHIMIZA ULINZI WA RASILIMALI ZA ZIWA VICTORIA KISIWA CHA GANA
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Bw. Christopher Ngubiagai akizungumza na wananchi wa kisiwa cha Gana Ukerewe. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe…
MASWI: MAENDELEO YA JAMII NI MUHIMILI KATIKA TAIFA
Na WMJJWM – Mwanza. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Eliakim Maswi, amesema kada ya Maendeleo ya…
TVLA YAWATAKA WAFUGAJI KUONGEZA MWITIKIO WA CHANJO ZA MIFUGO
FARIDA MANGUBE MOROGOGO Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Dkt. Stella Bitanyi, amewataka wafugaji nchini kuongeza mwitikio wa kuchanja mifugo…
KUNENGE: ASISITIZA MAPATO NA HATI SAFI VIENDANE NA MATOKEO KWA WANANCHI
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameiagiza Manispaa ya Kibaha kufanya tathmini ya mara kwa mara ya vipaumbele vya…
WAAJIRI WANAOZINGATIA SHERIA ZA KAZI WAPONGEZWA
Na OWM-KAM, Mwanza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Mhe. Deus Sangu, amepongeza waajiri nchini wanaotekeleza wajibu wao kwa…
MKURUGENZI WA UCHAGUZI APONGEZA UFANISI NA UWAZI WA MFUMO WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA
Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhan Kailima, amepongeza ufanisi na uwazi wa Mfumo wa Uagizaji…
CZECHIA NA AFRIKA KUSINI WAGAWANA POINTI KOMBE LA DUNIA 2026
Timu ya Taifa ya Afrika Kusini imefanikiwa kutoka sare ya mabao 1-1 dhidi ya Czechia katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la…
YANGA YAITOA SIMBA KILELENI LIGI KUU TANZANIA BARA
Mabigwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC imerejesha kileleni mwa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi…
OFISI YA WAZIRI MKUU YATHIBITISHA NYENZO MUHIMU ZA KUIMARISHA USIMAMIZI WA MAAFA NCHINI
Na Mwandishi Wetu, Dodoma SERIKALI imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuimarisha mifumo ya usimamizi wa maafa nchini ili kuongeza uwezo wa kuzuia, kujiandaa, kukabiliana…
AWAMU YA NNE YA TUZO ZA WATAFITI YAFUNGULIWA, BILIONI 1.5 ZIMETENGWA
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefungua rasmi dirisha la Awamu ya Nne ya Tuzo kwa watafiti…
WAZIRI KIJAJI AZINDUA MATOKEO YA SENSA YA KITAIFA YA WANYAMAPORI JIJINI ARUSHA
Na Happy Lazaro, Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania…
SGR IMESAFIRISHA ZAIDI YA ABIRIA MILIONI 6, TAKRIBANI ABIRIA 11,000 KWA SIKU – PROF. MBARAWA
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa amesema Serikali ya Tanzania inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati ya miundombinu ya usafiri inayolenga kuimarisha huduma…
VYOMBO VYA HABARI VILINDE MASLAHI YA WATOTO KATIKA UTOAJI WA TAARIFA
Na John Bukuku, Dar es Salaam Waandishi, watangazaji na waandaji wa vipindi vya watoto wametakiwa kuzingatia maadili na kanuni za kitaaluma katika kuripoti…
WAZIRI MCHENGERWA: HADI SASA TANZANIA HAINA MGONJWA WA EBOLA
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema kuwa hadi sasa Tanzania haina mgonjwa wa Ebola na hali ya usalama…
MAGOMENI HADI IKULU YA WINDHOEK: SAFARI YA NETUMBO NA URAFIKI WA TANZANIA NA NAMIBIA
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah akisalimiana na Bi. Salama Salehe Ghulum (Mama Salehe) na Bi. Rafran Ismail Khan ambao walikuwa…
RAIS WA NAMIBIA KUFANYA ZIARA YA KITAIFA NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, anatarajiwa kuwasili nchini tarehe 19 Juni, 2026 kwa ziara ya kitaifa. Ziara hiyo, ambayo ni…
WAZIRI MKUU DKT. NCHEMBA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSTAAFU JOHN MALECELA DODOMA
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa ameambatana na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba, wamemtembelea na kumjulia hali Waziri Mkuu mstaafu, John Malecela nyumbani kwake…
SERIKALI YAIMARISHA USIMAMIZI WA MIRADI YA UMWAGILIAJI ILI KUONGEZA UWAJIBIKAJI, UFANISI NA THAMANI YA FEDHA
Nirc: Dodoma Serikali imeendelea kusisitiza uwajibikaji, ufanisi na thamani ya fedha katika utekelezaji wa miradi ya Umwagiliaji na kuimarisha usimamizi wa miradi kwa mfumo…
MASOKO YA MADINI YAIMARISHA UWAZI, KUDHIBITI UTOROSHAJI WA MADINI NCHINI
📍Dodoma Tume ya Madini imesema kuanzishwa kwa masoko ya madini na vituo vya ununuzi wa madini nchini kumeongeza uwazi katika biashara ya madini na…
ELIMU YA VIPIMO YAWAVUTIA WANANCHI, WAAHIDI KUWA MABALOZI WA KUJITOLEA
“Sasa najua ni nini ninapaswa kuangalia ninapojaza mafuta, kununua sukari au hata ninaponunua gesi ya kupikia.” Ni kauli ya Bw. Bilson Vedastus, mmoja wa…
UTEKELEZAJI WA SERA YA TAIFA YA USIMAMIZI WA MNYORORO WA UGAVI 2025, KUINUA UCHUMI.
Afisa Mwandamizi wa Idara ya Usimamizi wa Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Bi. Anne Swila, akitoa elimu kwa wananchi kuhusu Sera…
SERIKALI YATENGA FEDHA KUENDELEA KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI, UZAZI WA MPANGO
Na Hassan Kimweri, WAF – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga fedha za kununua bidhaa za afya ikiwemo afya ya uzazi, mama na…
SERIKALI YAIMARISHA USIMAMIZI WA MIKOPO YA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO
Na Jackline Minja, WMJWM- Dodoma Serikali imeendelea kuimarisha mfumo wa usimamizi wa mikopo yenye masharti nafuu inayotolewa kwa wafanyabiashara ndogondogo ili kuhakikisha fedha hizo…
WAZIRI MKUU AAGIZA USIMAMIZI MZURI WA MITAMBO YA UCHIMBAJI VISIMA
*Awataka watendaji kuacha mazoea katika utekelezaji wa majukumu. WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka watendaji wa Wizara ya Maji pamoja na Wakuu wa Mikoa…
NILIVYOMTOA NDUGU YANGU KWENYE MTEGO WA DAWA ZA KULEVYA BAADA YA KUPATA NJIA SAHIHI KUMUOKOA
Maisha yetu yalibadilika ghafla pale ndugu yangu alipoanza kubadilika tabia. Alikuwa mtu mchangamfu, mwenye ndoto na malengo, lakini polepole akaanza kujitenga, kupoteza mwelekeo, na…
NILIVYOREJEA KWENYE MASOMO NA KUFANIKIWA BAADA YA KUPOTEZA MWELEKEO KUPITIA MWONGOZO ULIONIAMSHA UPYA
Kulikuwa na kipindi nilikata tamaa kabisa na masomo. Nilikuwa nimeanza vizuri, lakini kadri muda ulivyopita, nikapoteza mwelekeo. Alama zilianza kushuka, motisha ikaisha, na hatimaye…
DC POLYTECHNIC YAWAHIMIZA WALIMU KUJIENDELEZA KUHAMASISHA KUKABILIANA NA MTAALA MPYA
Na Silivia Amandius, Bukoba. Bukoba: Walimu walioko kazini pamoja na vijana ambao hawakupata fursa ya kuendelea na elimu ya juu wametakiwa kutumia vyuo vinavyotoa…
UMOJA WA KITAIFA NI MUHIMU KATIKA UTEKELEZAJI WA DIRA 2050 – WAZIRI DEUS SANGU
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano ya Kazi, Mheshimiwa Deus Sangu, akihutubia Viongozi na Wajumbe wa Baraza la…
WADAU WA MAZINGIRA KUTOKA UJERUMANI WAONESHA NIA YA KUWEKEZA TANZANIA
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi, akiwa katika mazungumzo na Bw. Lorenzo Guadagno wa Sekretarieti ya Santiago Network pamoja…
NAIBU WAZIRI NDEGE AGAWA KOMPYUTA, MEZA NA KABATI, KWA SHULE NA ZAHANATI BABATI
Na Mwandishi wetu, Babati NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Regina Ndege Qwaray amegawa viti…
MAANDALIZI YA UJENZI WA BWAWA LA FARKWA YASHIKA KASI
Serikali inaendelea na hatua za awali za ujenzi wa bwawa la Farkwa ambapo Wizara ya Maji kupitia programu ya Uhimilivu dhidi ya Mabadiliko ya…
WAANDAAJI WA VIPINDI VYA WATOTO ZINGATIENI MAADILI NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA ZA KISASA
Na John Bukuku, Dar es Salaam, Juni 18, 2026 – Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Serikalini katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wanawake,…
OWM YASHIRIKI MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026 DODOMA
Na, Mwandishi wetu – Dodoma Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye…