NILIVYOMNASA MFANYAKAZI WANGU ALIYEKUWA AKIIBA HELA DUKANI KWANGU BAADA YA HASIRA YA MIEZI SITA
Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilihisi biashara yangu ilikuwa karibu kuanguka kabisa. Nilikuwa nimeanzisha duka langu kwa juhudi nyingi sana. Nilijinyima mambo mengi…