Kwa miaka mingi, ndoto yangu kubwa ilikuwa kuwa mama. Nilikuwa nikitamani siku ambayo ningeshika mtoto wangu mikononi na kusikia akiniita mama. Baada ya kuolewa, mimi na mume wangu tulikuwa na matumaini makubwa kwamba tungepata watoto ndani ya muda mfupi.
Lakini mambo hayakwenda kama tulivyotarajia.
Mwaka wa kwanza ulipita bila kupata ujauzito. Kisha mwaka wa pili nao ukapita. Kadri miaka ilivyoendelea, watu wa karibu walianza kuuliza maswali ambayo yaliniumiza moyo. Nilijaribu kutabasamu mbele za watu, lakini ndani yangu nilikuwa nikiteseka….. SOMA ZAIDIĀ
