USHIRIKIANO WA TANZANIA NA UGANDA WAIPA TANGA HADHI YA KITUO CHA NISHATI CHA KIKANDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni…
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wanawake CCM -UWT Taifa Mary Chatanda ametembelea mradi wa ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake…
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Aggrey Mwanri, akiwa ameambatana na wajumbe wengine wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, amepokelewa…
Tume ya Madini yasisitiza uchimbaji unaozingatia sheria, afya na maendeleo endelevu 📍Dodoma Tume ya Madini imeendelea kuimarisha ukaguzi wa migodi nchini ili kuhakikisha shughuli…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni…
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Tafiti na Ushauri Elekezi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. Razack Lokina, amewahimiza Watanzania wanaotembelea Maonesho ya…
Na WMA – DODOMA. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Hamad Chande, amefurahishwa na uelewa mkubwa ulioonyeshwa na wanafunzi waliopata elimu ya vipimo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni baada…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) limesema kuongeza thamani ya mazao ya kilimo kupitia usindikaji kunaweza kupunguza…
Na.Mwandishi Wetu. Serikali imewataka wawekezaji binafsi na taasisi mbalimbali nchini kutumia fursa zinazotolewa kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuwekeza katika ujenzi wa nyumba,…
Mbegu za wakulima zinazochangia zaidi ya asilimia 60 ya mbegu zinazotumiwa nchini bado hazina utaratibu rasmi wa kuhakikisha ubora wake, hali inayozuia kutambuliwa rasmi…
Wananchi wanatarajiwa kunufaika na mfumo mpya wa mita za maji za malipo kabla ya matumizi (prepaid meters) nchini, hatua inayolenga kuondoa malalamiko ya bili…
Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) kwa kushirikiana na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa elimu kwa…
Waswahili husema nyumba njema haikosi wageni na hii imedhihirika leo tarehe 4 Agosti, 2026 baada ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar mhe Zubeir…
Na; Mwandishi Wetu Dar es Salaam Tanzania inatarajiwa kuingiza zaidi ya Sh bilioni 10 kutokana na mauzo ya biashara ya kaboni baada ya Serikali…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, akizungumza na Baraza la Ushauri la Wazee Mkoa wa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Jukwaa la Miundombinu Afrika na Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Africa50 uliofanyika…
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni, amewasili jijini Dar kwa ziara rasmi ya siku mbili kuanzia tarehe 5-6 Agosti 2026, kufuatia…
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Profesa William Palangyo, amewakaribisha wananchi kutembelea banda la taasisi hiyo katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea…
Na John Walter-Babati Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso (Mb), akiendelea na ziara maalum ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika mkoa…
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Mhandisi Maryprisca…
Na. WMA- Dodoma Wakulima, wafugaji, wavuvi, wafanyabiashara na wananchi wameendelea kutembelea banda la Wakala wa Vipimo (WMA) Katika siku ya tano ya Maonesho ya…
Na John Walter -Babati Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa Maji wa Vijiji vya…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na…
Na Mwandishi Maalum, Mbinga Kampuni ya Corteva Agriscience Tanzania Ltd, wasambazaji wa mbegu za mahindi aina ya Pannar na Pioneer, imewasisitiza wakulima wa mikoa…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Katibu Mkuu wa Makumbusho ya Taifa ya Oman,…
Meya wa Jiji la Arusha Maxmilian Iranghe akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo Happy Lazaro,Arusha . Arusha .Meya wa Jiji la Arusha…
Farida Mangube Morogoro Katika kukabiliana na ujangili na usafirishaji holela wa nyara za Serikali, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeanzisha utafiti wa…
Na OWM – TAMISEMI, Morogoro Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan…
Na Silivia Amandius Karagwe, Kagera Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, ameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu…
Na Meleka Kulwa – Fullshangwe Blog, Dodoma Meneja wa Usajili na Leseni wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Bi. Mwahija Irika, amesema…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni pamoja na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Judith…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete, ametembelea banda la Watumishi Housing Investments…
Mradi wa SAFARI unaosimamiwa na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kushirikiana na Liverpool School of Tropical Medicine umebuni teknolojia ya matumizi ya akili…