TANZANIA YAELEZA MAFANIKIO YA MIAKA 10 YA UTEKELEZAJI WA AJENDA MPYA YA MIJI
Na Munir Shemweta, New York Tanzania imeeleza mafanikio makubwa yaliyopatikana katika utekelezaji wa Ajenda Mpya ya Miji (New Urban Agenda) katika kipindi cha miaka…
Na Munir Shemweta, New York Tanzania imeeleza mafanikio makubwa yaliyopatikana katika utekelezaji wa Ajenda Mpya ya Miji (New Urban Agenda) katika kipindi cha miaka…
Happy Lazaro, Arusha. Arusha.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda, amewataka wananchi kujenga tabia ya…
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas,akizungumza na wadau wa sekta ya maji kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea. Diwani wa Kata…
NA DENIS MLOWE, IRINGA. MKOA wa Iringa umeendelea kuonyesha mafanikio makubwa katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka…
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akikagua mradi wa ujenzi wa bandari ya Mbamba Bay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma Julai 16, 2026 ambao utachagiza uchumi wa buluu. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akikagua mradi wa kizimba cha ufugaji wa samaki kilichopo katika Kijiji cha Hinga wilayani Nyasa mkoani Ruvuma Julai 16, 2026, mradi utakaosaidia kupanua wigo wa uvuvi hivyo kuchochea sekta ya uchumi wa buluu. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akizungumza na wananchi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma Julai 16, 2026 wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua shughuli za usimamizi wa mazingira. ……… Dkt Muyungi awataka wananchi kuitunza miradi ya maendeleo Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi ametoa…
NA DENIS MLOWE, IRINGA TAASISI ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Kituo cha Kifulilo kimesema ushiriki wake katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika mkoani Iringa…
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Uganda Marco Elisha Gaguti, Ofisini kwake Mlimwa Jijini Dodoma, Julai 17, 2026…
Dar es Salaam Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amemtaka Mkandarasi China Road and Bridge Corporation…
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Profesa Abel Makubi (wa pili kulia) alipowasili kwenye ukumbi wa…
Naibu waziri wa ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya ameitaka bodi ya usajili wa wahandisi (ERB) Kuchukua hatua za kinidhamu kwa wahandisi wote watakaokwenda kinyume na…
Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mheshimiwa Salma Rashid Kikwete, tarehe 7 Julai 2026…
Benki ya NMB Plc imetajwa kuwa Benki Bora Zaidi nchini kwa Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati katika Tuzo za Euromoney za Ubora 2026, ikitambuliwa…
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania, taasisi za umma na binafsi, mashirika na wadau wa maendeleo waungane na Serikali katika kuwezesha matibabu ya…
Fainali ya FIFA WORLD CUP 2026 inakuja na Oryx Energies tuko tayari kuitazama pamoja nawe! Tukutane Mbagala Zakhem *Jumapili | 19 July 2026* Tunayo…
Na Mwandishi wetu, Lushoto Wananchi wa Jimbo la Lushoto Julai 16, 2026 wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za ujenzi…
By TBN Writer The Journalists’ Accreditation Board (JAB) has received a formal request from the Tanzania Bloggers Network (TBN) seeking training for its more…
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umetoa msamaha wa tozo kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango na…
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Masha Mshomba amesema kuwa hesabu za awali…
Na John Mapepele- Dodoma Serikali imeeleza dhamira yake ya kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha huduma za afya za kibingwa katika Afrika Mashariki na Kati…
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Mhe. Jestas Abuok Nyamanga, kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Bw. Charles Ngeleja Kadonya, amewasihi watendaji…
Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kigamboni, Bi. Tumaini Mahwaya (kulia) akitoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi…
Serikali imeendelea kukamilisha maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika (Africa50 General Shareholders’ Meeting – GSM…
Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Dkt. Asha-Rose Migiro, amefanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tone Tinnes, katika Ofisi Ndogo…
■ Utekelezaji wake mbioni kukamilika ■ Wafanyabiashara wausubiri kwa hamu Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Ule msemo wa Kiswahili unaosema “Mgeni njoo, mwenyeji apone”…
Na Mwandishi Wetu, JAB Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imepokea ombi kutoka Mtandao wa Mabloga Tanzania (TBN) la kutoa mafunzo kwa…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema unapotafakariwa mustakabali wa utoaji huduma za afya nchini, hakuna…
Na Jeremia Mwakyoma, Picha na Gladys Lukindo DODOMA – JULAI 15, 2026 Awamu ya pili ya watoto kutoka nchini Burundi, kesho wanatarajiwa kuwasili nchini…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe…
Nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimehimizwa kuwa na umoja wenye malengo katika kukabiliana na changamoto zinazoibuka duniani ambazo zisiposhughulikiwa…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation, Mhe. Dkt. Hussein Ali…
Zaidi ya wadau 100 wa elimu wa kigeni na wa ndani wamekusanyika jijini Dar es Salaam ili kuimarisha uongozi wa shule, huku Tanzania ikizindua…
Afisa Mkuu wa Fedha wa Yas Tanzania, Bw. Innocent Rwetabura akizungumza katika. mkutano huo uliofanyika kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam Julai…
NA DENIS MLOWE,IRINGA MKUU.wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amesema maonesho ya Nanenane yanayofanyika kwa mara ya kwanza ndani ya Mkoa wa Iringa yanalenga…
NA DENIS MLOWE IRINGA MWENYEKITI wa UVCCM Mkoa wa Iringa, Aggrey Tonga, amesema vijana wa mkoa huo ni miongoni mwa wanufaika wakubwa wa miradi…