Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji  wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Profesa Abel Makubi  (wa pili kulia) alipowasili kwenye ukumbi wa Mabele jijini Dodoma kuongoza hafla ya  Okoa Maisha Gala iliyolenga kuchangisha Fedha za kuwezesha matibabu ya upandikizaji figo na uloto.  Hafla hiyo iliandaliwa na   Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kushirikiana na Hospitali ya Benjamin Mkapa  Julai 16, 2026. Wengine kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa UWT, Suzan Kunambi, Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa na Mwenyekiti wa UWT, Mary Chatanda. Jumla ya shilingi bilioni 2.225 zilichangwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda katika hafla ya Okoa Maisha Gala iliyolenga kuchangisha Fedha za kuwezesha matibabu ya upandikizaji figo na uloto.  Hafla hiyo iliandaliwa na  Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kushirikiana na Hospitali ya Benjamin Mkapa  kwenye ukumbi wa Mabele jijini Dodoma,Julai 16, 2026. Jumla ya shilingi bilioni 2.225 zilichangwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania  (UWT), Mary Chatanda akizungumza katika hafla ya Okoa Maisha Gala iliyolenga kuchangisha Fedha za kuwezesha matibabu ya upandikizaji figo na uloto. Hafla hiyo iliyoandaliwa na  Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kushirikiana na Hospitali ya Benjamin Mkapa  Kwenye ukumbi wa Mabele jijini Dodoma Julai 16, 2026. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba. Jumla ya shilingi bilioni 2.225 zilichangwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Profesa Palamagamba Kabudi akizungumza katika hafla ya  Okoa Maisha Gala iliyolenga kuchangisha Fedha za kuwezesha matibabu ya upandikizaji figo na uloto, iliyoandaliwa na  Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kushirikiana na Hospitali ya Benjamin Mkapa   kwenye ukumbi wa Mabele jijini Dodoma, Julai 16, 2026. Wengine kutoka kushoto ni Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa na kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Regina Ndege Qwaray. Jumla ya shilingi bilioni 2. 225 zilichangwa.  (Picha na Ofisi aya Waziri Mkuu)
 Washiriki wa hafla ya  Okoa Maisha Gala iliyolenga kuchangisha Fedha za kuwezesha mabibabu ya upandikizaji figo na uloto, iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kushirikiana na Hospitali ya Benjamin Mkapa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba alipozungumza katika hafla hiyo Kwenye ukumbi wa mabele jijini Dodoma, Julai 16, 2026. Jumla ya shilingi bilioni 2.225 zilichangwa. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiagana na viongozi baada ya kuongoza hafla ya  Okoa Maisha Gala iliyolenga kuchangisha Fedha za kuwezesha matibabu ya upandikizaji figo na uloto, iliyoandaliwa na  Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kushirikiana na Hospitali ya Benjamin Mkapa Kwenye ukumbi wa Mabele jijini Dodoma, Julai 26, 2026. Jumla ya shilingi bilioni 2.225 zilichangwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akimpongeza Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tawi la Mazengo Dodoma, Agnes Mwakalukwa ambaye alichangia zaidi ya shilingi 1,500,000/= katika  hafla ya  Okoa Maisha Gala iliyolenga kuchangisha Fedha za kuwezesha matibabu ya upandikizaji figo na uloto, iliyoandaliwa na  Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kushirikiana na Hospitali ya Benjamin Mkapa kwenye ukumbi wa Mabele jijini Dodoma, Julai 26, 2026. Jumla ya shilingi bilioni 2.225 zilichangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)