Fainali ya FIFA WORLD CUP 2026 inakuja na Oryx Energies tuko tayari kuitazama pamoja nawe!
Tukutane Mbagala Zakhem
*Jumapili | 19 July 2026*
Tunayo kwa ajili yako:
🎉 Screen kubwa
🎧 Live DJ & Burudani
🍔 Vyakula na vinywaji
💯 *Hakuna kiingilio*
Wacha mpira unoge! Tujaze uwanja tucheke, tupige kelele na tushangilie pamoja 🇹🇿
Tag rafiki zako wa mpira hapa chini 👇
#OryxEnergies #FIFAWorldCup2026 #Fainali #MpiraNiFursa #Mbagala #Tanzania #WorldCupFinal
