KUFIKIA JULAI 30 WAKULIMA WOTE WATAKUWA WAMELIPWA FEDHA ZA PAMBA-MHE HASUNGA
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akikagua mzani wa kupimia Pamba mara baada ya kuwasili katika kijiji na kata ya Nyamigota Halmashauri ya…
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akikagua mzani wa kupimia Pamba mara baada ya kuwasili katika kijiji na kata ya Nyamigota Halmashauri ya…
********** WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Hamisi Issah awasake na kuwatia mbaroni watu waliohusika na wizi wa tani…
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, ambaye amemwakilisha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe, akihutubia Viongozi wa Serikali…
Baadhi ya wanafunzi watarajiwa wakipata huduma katika banda la Chuo Cha KIUT katika Maonesho ya Vyuo vikuu yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini…
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati), akikata utepe kabla ya kuwasha rasmi umeme katika nyumba ya Bwana na Bibi Josam Paulo ikiwa ni…
Naibu Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso,akizungumza na wananchi wa kijiji cha Masange wilayani Kondoa baada ya kufanya ziara ya kukagua na kujionea mradi…
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi akizungumza na watumishi wa Wizara hiyo, wataalamu wa ardhi, makatibu Tawala wa mikoa na…
Katika muendelezo wa operesheni ya ukaguzi wa Mabasi na Malori Mkoani Arusha iliyoanza tarehe 09.07.2019, leo tarehe 18.07.2019 muda wa mchana huko katika maeneo…
Mkurugenzi wa Wateja wa Wadogo na Wakati wa Benki ya CRDB –Boma Labala (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 150 kwa ajili…
NA MWAMVUA MWINYI,MAFIA WILAYA ya Mafia ,mkoani Pwani imejipanga kuinua uchumi wake kwa kutumia zao la kibiashara la nazi na Mwani ambayo kwa sasa…
Washiriki zaidi ya 100, wenye mataji ya kitaifa kutoka nchi 100 duniani kote watashiriki shindano la kimataifa la Miss Utalii Tanzania 2019 / 2020,litakalo…
Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Venance Mashiba( wa pili kulia), na Mkurugenzi Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, …
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeandaa mpango maalumu wenye lengo la kuongeza ufanisi wa utoaji wa tahadhari…
Mgombea ubunge wa CCM Singida Mashariki, Miraji Mtaturu ndio pekee aliyerejesha fomu za kuwania nafasi hiyo kati ya wagombea 13 waliojitokeza. Mtaturu amerejesha fomu…
Wananchi wakipata huduma katika banda Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) katika Kampeni ya Mnada kwa Mnada ya TCRA Mkuu wa Kitengo wa Huduma…
************* Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) katika kikao chake kilichokaa Julai 17,2019 kimefanya marekebisho ya michezo ya kufuzu…
*********** NA EMMANUEL MBATILO Kumekuwa na ongezeko la idadi ya vyuo katika maonesho ya 14 ya elimu ya juu yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Mashariki, Mh.Damas Ndumbalo akizungumza na wadau mbalimbali wa sekta binafsi pamoja na wanahabari katika mkutano…
******************* Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kwa Chama Cha Mpira wa Miguu Songwe (SOREFA)…
PRESS RELEASE VACANCY ANNOUNCEMENT FROM THE INTERNATIONAL TELECOMMUNICATION UNION (ITU) The Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation has received…
********** NJOMBE Familia moja ya Mathias Mgaya yenye makazi yake katika kijiji cha Kipengele kata ya Kipengele wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe imeomba serikali kuipa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Kongwa mara baada ya kuwasili wakati akitokea Chamwino…
Benki ya TPB imetoa msaada wa rangi ndoo 50 katika shule ya Sekondari Buluba iliyopo katika Manispaa ya Shinyanga kwa ajili ya kupendezesha mandhari…
MBUNGE wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu katikati akizungumza wakati akifungua kikao cha Jukwaa la Wadau wa Machungwa wilayani humo kushoto ni…
Mwenyekiti wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini Dkt. Faustine Sambaiga (kushoto) akifungua kikao cha 41 cha Bodi hiyo kilichokutana katika Ofisi ndogo za Wizara ya…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James walioketi (kulia) na Kaimu Balozi wa Finland hapa nchini Bw. Kari Leppanen, wakisaini hati…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi waliyohudhuria katika uzinduzi wa daftari la kudumu la wapiga kura, uliyofanyika kwenye viwanja vya Mandela mkoani Kilimanjaro Julai 18.2019. (Picha…
Balozi wa Afrika Kusini nchini,Thami Mseleku(wa pili kushoto),Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela(NM-AIST) anayeshughulikia Taaluma,Utafiti na Ubunifu,Profesa…
Mkuu wa shule ya Kibaha Sekondari Chrisdom Ambilikile akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake kuhusiana na mikakati mbali mbali aliyojiwekea katika kuhakikisha anapandisha…
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo prof. Elisante Ole Gabriel akimsaidia mwananchi kuchota maji kutoka kwenye kisima kwa ajili ya kunyweshea…
************** Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. January Makamba amewahakikishia wananchi kuwa bei ya mifuko mbadala itaendelea kushuka.…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, wakati akiwasili katika uwanja wa KIA, kwa ziara ya kikazi ya siku nne…
Mbunge wa Singida Magharibi,Elibariki Kingu akihutubia Wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Muhintiri Ikungi mkoani Singida jana. Diwani wa Kata ya Muhintiri,…
Thami Mseleku Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania akizungumza katatika wiki ya ufunguzi wa wiki ya Nelson Mandela inayoendelea katika Chuo hicho kilichopo Jijini…
Sehemu ya umati wa wananchi wa Kijiji cha Kizinga, wilayani Muleba, Mkoa wa Kagera, wakimsikiliza Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani (hayupo pichani), muda…