Sunday, May 10, 2026

Top Stories

View all
WAZIRI MKUU AAGIZA SAME SEKONDARI IPEWE GARI

WAZIRI MKUU AAGIZA SAME SEKONDARI IPEWE GARI

*DED aahidi kuliwasilisha kesho kutwa jioni   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Bi. Anna-Clare Shija apeleke gari…

BASHIRU AWATAKA MACHINGA KUWA NA MSHIKAMANO

BASHIRU AWATAKA MACHINGA KUWA NA MSHIKAMANO

Na.Faustine Gimu  Galafoni,Dodoma. KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dkt.BASHIRU ALLI amelitaka Shirikisho la Umoja wa wamachinga nchini Taifa (SHIUMA)kuzingatia mshikamano miongoni mwao ili kukabili…

MAHAKAMA YAPENDEKEZA MAKOSA YOTE KUWA NA DHAMANA

MAHAKAMA YAPENDEKEZA MAKOSA YOTE KUWA NA DHAMANA

Na Lydia Churi-Mahakama Mahakama ya Tanzania inapendekeza makosa yote kuwa na dhamana kwa kuwa hatua hii itasaidia kuondoa msongamano wa Mahabusu kwenye Magereza mbalimbali…

SHILATU AWASHUPALIA WAKANDARASI

SHILATU AWASHUPALIA WAKANDARASI

Na Mwandishi wetu Mihambwe Tabia ya Wakandarasi kuchelewa kukabidhi kazi kwa wakati na kwa ubora haitakubalika kwenye miradi ya ujenzi ya Serikali. Hayo yamebainishwa…

ARUMERU YAWATUNUKU KISIMIRI

ARUMERU YAWATUNUKU KISIMIRI

Mkuu wa wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Muro ameungana na Mhe Mbunge Dkt. John Danielson Pallangyo wa Arumeru Mashariki pamoja na mwenyekiti wa Bodi…

WAZIRI MKUU AWAFUNDA WATUMISHI WA UMMA

WAZIRI MKUU AWAFUNDA WATUMISHI WA UMMA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiongea na Viongozi na Watumishi wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, katika ukumbi wa Halmashauri Julai 19.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri…

RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM

RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wahudumu wa ndege iliyomchukua baada ya kuteremka katika Uwanja wa Ndege…