GGM WAKUSANYA BIL 13 KUPITIA KILI CHALLENGE
Washiriki wa Changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro ijulikanayo kwa jina la Kili Challenge 2019 wakishuka wakiwa na Bendera ya Taifa huku wakiimba nyimbo mbalimbali…
Washiriki wa Changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro ijulikanayo kwa jina la Kili Challenge 2019 wakishuka wakiwa na Bendera ya Taifa huku wakiimba nyimbo mbalimbali…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo Sanaa na Michezo, Mh. Harrison George Mwakyembe akisalimiana na Waamuzi wa mchezo wa mpira wa miguu kati ya Mtwara…
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Umoja wa Wahitimu wa Shule ya Sekondari…
Na Mwandishi Wetu, CAIRO TANZANIA imeanza vibaya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 baada ya kuchapwa mabao 2-0 na Senegal katika…
KAIMU Mkuu wa wilaya ya Pangani Godwin Gondwe kushoto akimkabidhi Kombe Nahodha wa timu ya APL ya Kigombe ambao ni Mabingwa wa Ligi ya…
Meneja wa Wakala wa Vipimo Shinyanga Bw. Elias Nyanda akihakiki mizani inayotumika katika ununuzi wa pamba kwenye chama cha msingi cha ushirika (AMCOS) Afisa…
Maafisa wa MSD Etty Kusiluka,Selwa Hamid na Doroth Mtatifikolo wakitoa maelezo kwa majaji wanaofanya tathmini ya maonesho ya Utumishi wa Umma…
Afisa Maendeleo ya Vijana Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Bi. Amina Sanga (Mbele Kulia) akizungumza na wanachama wa…
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya AGPAHI, Bi. Asha Mtwangi akifungua kambi ya watoto na vijana kutoka mikoa ya Mara, Mwanza, Shinyanga na Simiyu…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto) akimuhoji mwananchi aliyekuja kumchukulia dhamana ndugu yake katika Kituo cha Polisi Gogoni, jijini…
NA MWAMVUA MWINYI,PWANI WANANCHI wanaopisha miradi mikubwa ya umeme ,katika mikoa ya Pwani ,Dar es Salaam na Dodoma watarajie kulipwa fidia zao wakati wowote…
Baadhi ya waumini wakibariki ndoa zao na kuwekewa mikono ya baraka na Askofu Mstaafu Dr.Israel Mwakyolile kwenye ibada ya leo katika kanisa la KKT…
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amepiga marufuku wananchi wanaoshitakiana katika Mabaraza ya Ardhi kutoa pesa kwa ajili…
Baadhi ya wajane wakiwa katika maandamano ya kusheherekea Siku ya wajane Duniani yaliyofanyika jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee…
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) Bi.Maimuna Tarishi akizungumza na watumishi wa ofisi yake wanaotarajia kustaafu hivi karibuni wakati wa…
Mkurugenzi wa Shirika la Ubalozi wa Kimataifa wa Kikristo- Jerusalem (ICEJ) tawi la Tanzania, Stanton Newton Kanyiki akizungumza kwenye kongamano la Kikristo Afrika Mashariki…
********************** NJOMBE Mtoto Tunu Lukosi(10) mkazi wa Makambako Mkoani Njombe anaesoma darasa la sita mwenye kipawa cha kuimba nyimbo za injiri amefanya jambo la…
********************* NA DENIS MLOWE,IRINGA MASHINDANO ya kugombea kombe linaloandaliwa na mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kwa tiketi ya CCM, Rita Kabati yanayojulikana…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na ndugu na jamaa wa marehemu Dkt. Badriya Abdallah Gurnah, mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Abdallah…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Abbas Tarimba Abbas nyumbani kwake Kinondoni ambaye hivi karibuni amefiwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiomba dua maalumu na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akiwasili katika Ubalozi wa Tanzania Nchini China na kupokelewa na…
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (kushoto), akitoa ishara ya kuanza kwa mashindano ya mbio za Dasani Marathon, zilizofanyika leo 23/06/2019 jijini…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Naibu Katibu Mkuu wa CCM – Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi ambaye amefiwa na Mkewe, Dkt. Badriya Abubakar…
Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)Dkt,Allan Kijazi akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwavisha vyeo vinavyoendana na mfumo wa Jeshi’Usu…
************************* NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA BODI ya Wadhamini wa Msikiti wa Ijumaa jijini Mwanza inakusudia kufungua mashitaka mahakamani dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya…
Naibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizindua Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Padre Dkt. Alister Makubi, Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu…
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, akizungumza na wananchi wa wananchi wa Mtaa wa Vitendo, Kata ya Misugusugu, wilayani Kibaha, Mkoa wa Pwani, kabla…
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Spika wa Bunge la Misri, Mhe. Dkt. Ali Abdel Aal Sayyed (kulia) Ofisini kwake Bungeni…
UGANDA imepata ushindi wa kwanza kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza baada ya miaka 41 kufuatia kuichapa…
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akihutubia watumishi wa Ofisi yake (hawapo…