Home Mchanganyiko RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA MAADHIMISHO YA SHEREHE EKARISTI TAKATIFU...

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA MAADHIMISHO YA SHEREHE EKARISTI TAKATIFU KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Padre Dkt. Alister Makubi, Paroko wa Kanisa
Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam
baada ya kushiriki Misa ya Maadhimisho ya Sherehe ya Ekaristi Takatifu
kanisani hapo katika leo Jumapili Juni 23, 2019. Katikati ni Paroko
Msaidizi wa kanisa hilo Padre Paul Haule na Mzee wa Kanisa Dkt.
Aldehem Meru

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akishiriki katika Misa ya Maadhimisho ya Sherehe ya Ekaristi
Takatifu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya
Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Juni 23, 2019