Saturday, May 9, 2026

Top Stories

View all
MAN UNITED WANAKARIBIA KUMNASA WAN-BISSAKA

MAN UNITED WANAKARIBIA KUMNASA WAN-BISSAKA

************************* NA EMMANUEL MBATILO Klabu ya Manchester United inasemekana ipo kwenye hatua za mwisho za kumsajili beki wa Crystal Palace, Aaron Wan-bissaka, ambaye wamekuwa…

TUNAWATAKA HAO SENEGAL-AMUNIKE

TUNAWATAKA HAO SENEGAL-AMUNIKE

*********************** Kocha Mkuu wa timu ya taifa Taifa Stars,amesema wana imani kubwa ya kuweza kuibuka na ushindi katika mchezo wa ufunguzi wa i dhidi…

Wabunge watembelea kambi ya Taifa Stars

Wabunge watembelea kambi ya Taifa Stars

**************** Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakiongozwa na Spika Job Ndugai, leo wameitembelea kambi ya timu ya taifa Taifa…

YANGA YAMNASA BALAMA

YANGA YAMNASA BALAMA

Timu zikiwa zinajiandaa kwaajili ya msimu ujao, klabu mbalimbali zinaendelea kufanya usajili ili kuweza kuimarisha vikosi vyao. Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Bara Yanga…

HALOTEL YAIPIGA TAFU TAIFA STARS AFCON

HALOTEL YAIPIGA TAFU TAIFA STARS AFCON

Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Mama Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Afisa uhusiano kampuni ya simu Halotel Stella Pius wakati …

NIMERUDI NYUMBANI-CECH

NIMERUDI NYUMBANI-CECH

************* NA EMMANUEL MBATILO Baada ya kutundika daluga anarudi Chelsea akiwa kama Technical and performance advisor. Kwa Mara ya kwanza alijiunga Chelsea mwaka 2004…

AMBOKILE ALAMBA DILI TP MAZEMBE

AMBOKILE ALAMBA DILI TP MAZEMBE

******************* NA EMMANUEL MBATILO Mshambuliaji wa kati ambaye alikuwa nakipiga katika klabu ya Mbeya City msimu uliopita Eliud Ambokile amekamilisha usajili wake kutoka Mbeya…