Home Mchanganyiko RAIS DKT. MAGUFULI AMEHANI MSIBA KWA FAMILIA YA ABAS TARIMBA JIJINI DSM.JUNE...

RAIS DKT. MAGUFULI AMEHANI MSIBA KWA FAMILIA YA ABAS TARIMBA JIJINI DSM.JUNE 23,2019

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Abbas
Tarimba Abbas nyumbani kwake Kinondoni ambaye hivi
karibuni amefiwa na watoto wake wawili (mmoja alifariki dunia
miezi mitatu iliyopita na mwngine wiki iliyopita jijini Dar es
salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. John Pombe Magufuli akisalimiana na mke wa Bw. Abbas
Tarimba Abbas nyumbani kwao Kinondoni ambao hivi karibuni
wamefiwa na watoto wao wawili (mmoja alifariki dunia miezi
mitatu iliyopita na mwngine wiki iliyopita jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza na Bw. Abbas
Tarimba Abbas nyumbani kwake Kinondoni alipokwenda kuhani
msiba ambapo hivi karibuni amefiwa na watoto wake wawili
(mmoja alifariki dunia miezi mitatu iliyopita na mwngine wiki
iliyopita jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. John Pombe Magufuli akimpa mkono wa pole Bw. Abbas
Tarimba Abbas nyumbani kwake Kinondoni alipokwenda kuhani
msiba ambapo hivi karibuni amefiwa na watoto wake wawili
(mmoja alifariki dunia miezi mitatu iliyopita na mwngine wiki
iliyopita jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. John Pombe Magufuli akiagana na Bw. Abbas Tarimba
Abbas nyumbani kwake Kinondoni alipokwenda kuhani msiba
ambapo hivi karibuni amefiwa na watoto wake wawili (mmoja
alifariki dunia miezi mitatu iliyopita na mwngine wiki iliyopita
jijini Dar es salaam