DKT. AKWILAPO : TUNAHARAKISHA MAGEUZI YA SEKTA YA NYUMBA NA KUWA MIRADI YOTE YA NHC INAKAMILIKA KWA MANUFAA YA WANANCHI
……….. Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kuonesha dhamira ya kuimarisha sekta ya makazi na biashara nchini kupitia utekelezaji…