Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Alhajj Hemed Suleiman Abdulla, amerejea Unguja akitokea Kisiwani Pemba, ambako alishiriki Swala na Baraza la Eid al-Adha. Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)
Tarehe: 27.05.2026.