Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilihisi kama kila kitu nilichorithi kutoka kwa wazazi wangu kilikuwa karibu kupotea. Baada ya baba yangu kufariki, aliacha kipande cha ardhi ambacho familia yetu ilikuwa ikikitegemea sana.

Tuliamini kila kitu kilikuwa sawa kwa sababu tulikuwa tunajua historia ya ardhi ile tangu zamani. Lakini ghafla mambo yalibadilika pale mtu mmoja alipojitokeza akidai sehemu ile ilikuwa yake….. SOMA ZAIDI