NILIVYOFANIKIWA KUREJESHA HESHIMA YANGU BAADA YA KUCHAFULIWA JINA KUPITIA UKWELI ULIOJITOKEZA
Kuna kipindi nilijikuta katika hali ngumu sana baada ya jina langu kuchafuliwa kwa maneno ambayo hayakuwa ya kweli. Ilianza kama uvumi mdogo, lakini ndani…
Kuna kipindi nilijikuta katika hali ngumu sana baada ya jina langu kuchafuliwa kwa maneno ambayo hayakuwa ya kweli. Ilianza kama uvumi mdogo, lakini ndani…
Kwa muda mrefu nilikuwa karibu kupata fursa kubwa maishani lakini kila mara zilikuwa zinanipita dakika za mwisho. Nilifika hatua ya mwisho kwenye maombi, usaili,…
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wamefanikiwa kutwaa Kombe la Muungano baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi,…
▪️Waziri Mavunde Asisitiza Ushirikiano wa Kikanda ▪️Ahimiza Uwekezaji Miundombinu ya Kisaaa, Nishati na Sera Rafiki ▪️Azishauri Serikali Kufanya Kazi kwa Ukaribu na Sekta Binafsi…
Na Mwandishi Wetu, Cairo Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano wa 21 wa Baraza la Mawaziri wa Nishati wa…
Na Hellen Mtereko,Mwanza Koplo Stella Lyimo, mtendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto Wilaya ya Nyamagana, Mkoani Mwanza, amemkabidhi Kamanda wa Polisi Mkoa wa…
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Wilbrod Mutafungwa akizungumza na kwenye hafla ya kumpongeza Koplo Stella Lyimo kwa kupata tuzo.Baadhi ya Askari Polisi wakiwa…
Na Silivia Amandius Bukoba Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Kagera, Ndugu Erick Peter Makundi, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kuhakikisha wanalipa…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo tarehe 29.04.2026 imezindua awamu ya pili ya kupokea mawazo bunifu kutoka kwa Umma katika kuongeza wigo wa kodi…
NA, Mwandishi wetu – Muleba, Kagera Timu ya wataalam kutoka sekta za afya, mifugo, mazingira, wanyamapori na kilimo imekutana katika Halmashauri ya Wilaya ya…
Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Katikati), Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Dodoma, Alhaji Adam Kimbisa (Kushoto), na…
28 Aprili 2026, Dar es Salaam. Kampuni ya mawasiliano ya Yas Tanzania imezindua rasmi kampeni yake mpya ya ‘Zingatia Mtandao wa Viwango’, ikiwa ni…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu akizungumza na Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bi. Mary Maganga…
Tanzania imeendelea kufungua milango ya uwekezaji kwa kuonesha fursa mbalimbali zilizopo, hususan katika sekta ya viwanda, kwa lengo la kuongeza uzalishaji na ajira nchini.…
TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine katika kuimarisha ulinzi na usalama wa maisha na…
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Baraka Leonard, akizungumza na Naibu Katibu wa Bunge la Ghana anayeshughulikia Shughuli za Bunge,…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma Mwenyekiti wa AAPAM Tawi la Tanzania (AFRICAN ASSOCIATION FOR PUBLIC ADMINISTRATION AND MANAGEMENT TANZANIA CHAPTER) Jumuiya ya Wataalamu…
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakikagua mradi wa kuunganisha umeme katika vitongoji 105 mkoani Mbeya wenye thamani ya…
Na Mwandishi Wetu Shirika la Mawasiliano Tanzania, TTCL, limesema linaendelea kuboresha huduma zake kwa wateja baada ya kununua magari saba aina ya Hilux na…
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao cha Kamati…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Kukabiliana na Mmomonyoko wa Maadili…
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Habari Afrika,. Ernest Sungura akizungumza na waandishi wa habari…
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, amesema Serikali ya Awamu ya Sita haitavumilia kuona mwananchi akishindwa kupata dawa au huduma za afya…
Na OWM-TAMISEMI, Dodoma Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuimarisha mazingira ya ujifunzaji kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum nchini, kwa kuboresha miundombinu wezeshi katika shule…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akijibu maswali bungeni jijini Dodoma leo Aprili 29, 2026. ……… Serikali…
Na John Bukuku, Kibiti Serikali kupitia ushirikiano na wadau wa afya, ikiwemo Gavi, imekabidhi boti saba zenye thamani ya Sh1.1 bilioni kwa ajili ya…
Kulikuwa na kipindi ndoa yangu ilifika hatua ya hatari sana. Tulianza kwa upendo mkubwa, lakini kadri miaka ilivyopita, mambo yalibadilika. Mawasiliano yakapungua, mabishano yakawa…
WADAU wa Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (PJT–MMMAM) wamekutana mkoani Morogoro kuandaa mpango kazi wa programu…
Na David KAFULILA Aprili 29,2026 Jana PPP CENTRE tulikuwa na kikao cha kawaida cha Baraza la wafanyakazi. Pamoja na kuwapongeza kwa mafanikio makubwa ya…
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi (kushoto) akishiriki Mkutano wa 12 wa Kikanda wa Afrika kuhusu ‘Agenda 2030 ya Maendeleo…
Kuna kipindi nilipitia maumivu ya mapenzi ambayo sikuwahi kufikiria ningeyapitia. Nilimpenda mtu kwa dhati, nikampa muda wangu, nguvu zangu, na moyo wangu wote. Lakini…
Maafisa Usafirishaji maarufu kwa jina la Bodaboda wa Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya wahimizwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kubaini, kuzuia na kutanzua…
Na Jeremia Mwakyoma na Jeremiah Mbwambo,BMH DODOMA – APRILI 29, 2026 Imeelezwa kuwa tatizo la usugu wa vimelea vinavyosababisha magonjwa dhidi ya dawa za…
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), kupitia Mkurugenzi Mkuu wake, Ephraim Mafuru, imepokea ugeni maalum kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji…
Naibu Waziri wa Nishati,Mhe. Salome Makamba ametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Misri, ambapo alipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini humo, Richard Makanzo. Katika mazungumzo…