Ndoto yangu kubwa tangu nikiwa mdogo ilikuwa kusoma nje ya nchi. Nilikuwa naamini elimu ingeweza kubadilisha maisha yangu na ya familia yangu. Kila mara nilikuwa nikisoma kwa bidii nikijua siku moja ningepata nafasi ya kusoma kwenye chuo kizuri na kujenga maisha bora ya baadaye.

Lakini safari haikuwa rahisi kama nilivyotarajia. Baada ya kumaliza masomo yangu, nilianza kutafuta scholarship mbalimbali. Kila nilipoona nafasi ya application, nilikuwa natuma maombi kwa matumaini makubwa….. SOMA ZAIDI