RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA MAKABURI YA MASHUJAA WA ZIMBABWE KATIKA ENEO LA NATIONAL HEROES ACRE WEST WING HARARE NCHINI HUMO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa mbele ya mnara wa Kumbukumbu ya Makaburi ya Mashujaa wa Taifa…