Home Mchanganyiko MASAUNI ZIARANI SHINYANGA

MASAUNI ZIARANI SHINYANGA

0

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wananchi wa  Kijiji cha Kangeme Kata ya Uloa Wilayani Ushetu mkoani Shinyanga ambapo katika  mkutano huo uliofanyika leo masuala mbalimbali yanayohusu kudhibiti uhalifu yalizungumzwa.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi wa Polisi Richard Abwao, akizungumza na wananchi wa  Kijiji cha Kangeme Kata ya Uloa Wilayani Ushetu mkoani Shinyanga ambapo katika  mkutano huo uliofanyika leo masuala mbalimbali yanayohusu kudhibiti uhalifu yalizungumzwa.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi