Home Mchanganyiko RAIS MAGUFURI ATEMBELEA STENDI YA DALADALA BUKOBA KUELEKEA KOROGWE

RAIS MAGUFURI ATEMBELEA STENDI YA DALADALA BUKOBA KUELEKEA KOROGWE

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na Abiria wa Daladala iliyokuwa ikitoka Bukoba mjini
kuelekea Karagwe mjini mara baada ya kuwasilimu wakati
waliposimama katika Kituo cha Daladala kilichopo katika kijiji
cha Kihanga nje kidogo ya Wilaya ya Karagwe mkoani
Kagera.

Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na mwanafunzi wa Shule ya Sekondary Karagwe ambaye
alikuwa akisafiri na daladala hiyo. PICHA NA IKULU