Watoto 11 Wafanyiwa Upasuaji wa Moyo wa Bila kufungua kifua katika kambi Maalum Inayofanywa na Madaktari wa JKCI na Wenzao wa SACH
Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka Shirika la Okoa Moyo…