Home Mchanganyiko MAJALIWA AHUTUBIA KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE MJINI KIGOMA

MAJALIWA AHUTUBIA KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE MJINI KIGOMA

0

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,  Stella Ikupa akizungumza katika Kongamano la  Wanawake (UWT) lililohutubiwa na Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Gaudencia Kabaka wakitazama hot pot lililotengenezwa kwa mbao wakati alipohutubia katika Kongamano la Wanawake kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma Julai 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Baadhi ya wananchi wa Kigoma wakimsikiliza Mgeni Rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika Kongamano la Wanawake (UWT) kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika Julai 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika Kongamano la Wanawake (UWT) kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)