Home Mchanganyiko MAJALIWA AKABIDHI MSAADA WA SH. MILIONI 2.5 KWA MJASIRIAMALI WA KIGOMA

MAJALIWA AKABIDHI MSAADA WA SH. MILIONI 2.5 KWA MJASIRIAMALI WA KIGOMA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Bw. Leonard Nkamba wa kijiji cha Kambanga wilayani Kasulu msaada wa sh. milioni 2.5 ili zimwezesha kununua vitendea kazi vya kisasa vya kumsadia kufanya kazi yake ya kuchonga vyombo mbalimbali vya mezani kwa kutumia miti. Makabidhiano hayo yalifanyika mjini Kigoma Julai 24, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)