Benki ya NBC na Asasi ya Sekta Binafsi ya Kilimo (PASS) zaingia makubaliano kusaidia Kilimo Biashara nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (wa pili kushoto), akibadilishana hati za mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa miaka mitano na Mkurugenzi…