Home Mchanganyiko MAONESHO YA BIASHARA SABASABA

MAONESHO YA BIASHARA SABASABA

0

Meneja Msaidizi Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki, Victoria Msina akizungumza na wanafunzi wa shule ya Grace Nursery and Primary School walipotembelea banda la BoT

Mkaguzi wa Mabenki, Bw. Gwamaka Charles kutoka Kurugenzi ya Usimamizi wa Sekta ya Fedha akitoa elimu kwa wanafunzi wa shule ya Sekondari Canossa waliotembelea banda la BoT Sabasaba.

Afisa Mwandamizi Rasilimali Watu kutoka Kurugenzi ya Utumishi na Uendeshaji BoT, Bw. Ismail Ngoisa akitoa elimu kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Canossa walipotembelea banda la BoT Sabasaba

Meneja Msaidizi Idara ya Sarafu, Bw. Abdul Dollah akiwafundisha wanafunzi kutoka shule ya Grace Nursery and Primary School