Home Mchanganyiko SERIKALI IMEDHAMIRIA KUMALIZA TATIZO LA MAJI KATIKA MJI WA KIBONDO

SERIKALI IMEDHAMIRIA KUMALIZA TATIZO LA MAJI KATIKA MJI WA KIBONDO

0

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akipampu maji yanayotokana na Mradi wa Maji wa Mabamba-Mkarazi katika Wilaya ya Kibondo, mkoani Kigoma.

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akiangalia kazi ya kufunga Umeme wa Nishati ya Jua itakayotumika kuendesha Mradi wa Maji wa Mabamba-Mkarazi, wilayani Kibondo, mkoani Kigoma.

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akizungumza na wanufaika wa Mradi wa Maji wa Mabamba-Mkarazi kwenye Kijiji cha Kitahana, wilayani Kibondo, mkoani Kigoma.

Tenki la Mradi wa Maji wa Mabamba-Mkarazi ukiwa katika hatua za mwisho za ujenzi, wilayani Kibondo, mkoani Kigoma.

……………………….