Top Stories
View all
WIZARA YAJA NA MFUMO WA KIMTANDAO KUPATA TAARIFA ZA WANAWAKE NCHINI
Bi. Sylivia Siriwa akiongea na wajumbe wa kikao kazi kuhusu mfumo maalum wa mtandao utakaowezesha kupata wasifu wa wanawake wasomi, wanasiasa na wale wanaofanya…
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA ABIRIA WA KIVUKO KATIKA ENEO LA BUSISI SENGEREMA MKOANI MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mwanza mjini mara baada ya kuwasili akitokea mkoani…
AJALI YA GARI KUACHA NJIA NA KUPINDUKA NA KUSABABISHA MAJERUHI NA UHARIBIFU WILAYA YA RUNGWE
Mnano tarehe 14/07/2019 majira ya saa 09:00 huko Kanyegele kata ya kiwira tarafa ya Ukukwe wilaya ya Rungwe. Barabara ya kuu ya TUKUYU –…
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtu mmoja MWAKILA S/O ALLY [32], mkazi wa Mwambene, Jijini Mbeya kwa tuhuma za kupatikana na laini…
MBOZI MBIONI KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI
Mkuu wa wilaya ya Mbozi Bw. John Palingo akipewa maelezo na Meneja wa RUWASA Mbozi Mhandisi Stephen Mkalimoto-Sengayave akikagua tanki la maji la Itaka…
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZINDUA NYUMBA ZA MAKAZI YA ASKARI WA JESHI LA POLISI MKOANI GEITA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugora watatu…
JAFO AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA UHURU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mhe Suleiman Jafo,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati…
AMDT YAWAJENGEA UWEZO WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI
Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Taifa la Biashara Oliver Vengula akizungumza na wakuu wa wilaya, wakurugenzi na maafisa biashara wa mikoa ya Singida na Manyara…
MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA ZINJANTHROPUS JULAI 22 MWAKA HUU ENEO LA OLDUPAI
************ Na Ahmed Mahmoud Arusha Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika sherehe za maadhimisho ya…
MSAJILI AZITOA HOFU NGOs AZITAKA ZILIZOKUWA NJE YA SHERIA KUJITOKEZA KUJISAJILI
Mwanasheria kutoka Ofisi ya Msajili wa NGOs Bi. Idda Kombe akitoa huduma kwa mmoja wa wadau kutoka Taasisi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ambayo…
MAPAMBANO YA RUSHWA YANG’ARISHA OFISI YA RAIS NA OFISI YA WAZIRI MKUU
************** WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema juhudi za Serikali za kupambana na rushwa, kudhibiti upotevu wa mapato, matumizi ya fedha za Serikali na kusimamia…
MAJALIWA AKAGUA MWENENDO WA UUZAJI WA PAMBA WIALYANI IGUNGA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua pamba wakati alipotembelea ghala la Chama cha Msingi cha cha Ushirika cha kijiji cha Mwabakima wilayani Igunga akiwa katika…
CSP KUPAMBANA NA UKEKETAJI MANYARA
Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la Civil Social Protection Foundation (CSP) Nemency Iriya akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mikakati ya kupambana na…
NATOA SIKU SABA KITUO CHA AFYA IBABA KIANZE KAZI-BRIGEDIA MWANGELA
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela akizungumza na viongozi katika humba cha upasuaji katika kituo cha Afya Ibaba ambapo ameagiza huduma…
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiongozana na Kaimu Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi , Arthur Mgongo (kulia) wakati Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilayani Kahama ilipotembelea mgodi huo ikiwa ni ziara ya kuimarisha Ulinzi katika wilaya hiyo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilayani Kahama ilipotembelea mgodi huo ikiwa…
SIMBA YAWEKA KAMBI AFRIKA KUSINI
******************** NA EMMANUEL MBATILO Baada ya kuweka maandalizi kwaajili ya msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara, timu kadhaa zimanza kuweka kambi katika maeneo…
MWENYEKITI WA KITONGOJI CHA NYAKAHAMBA HUKO KEREGE AONDOKA NA KITONGOJI CHAKE KUKIMBILIA CCM
*************** NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ,Kitongoji cha Nyakahamba ,kata ya Kerege Frenk Masihaga na wakazi wengine 300…
ALGERIA NA SENEGAL ZATINGA FAINALI AFCON 2019
FAINALI ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 itazikutanisha timu za Kundi C tupu, Senegal na Algeria Ijumaa wiki hii Uwanja wa Kimataifa…
BARCELONA YAMTAMBULISHA ANTOINE GRIEZMANN BAADA YA KUSAINI MIAKA MITANO
Rais wa Barcelona, Josep Maria Bartomeu (kulia) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo mchezaji mpya, mshambuliaji Antoine Griezmann aliyesaini mkataba wa miaka mitano baada ya…
KATIBU MKUU WA TAGCO AWAPONGEZA MAAFISA MAWASILIANO WA SERIKALI
KATIBU Mkuu wa Chama cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw, Abdul Njaidi amewapongeza Maafisa hao kwa kazi nzuri waliyofanya katika kipindi chote…
MHE.FAHARIA ATOA VIFAA VYA SH.MILIONI 15
………………….. NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. MBUNGE wa Viti Maalum wa Mkoa wa Mjini Mhe.Faharia Khamis Shomari,amekabidhi Vifaa mbali mbali vyenye Thamani ya Shilingi Milioni 15…
GARDIEL MBAGA AKIWA KATIKA SEMINA YA KLABU YAKE MPYA,SIMBA SC
Beki mpya wa Simba SC, Gardiel Michael akiwa na wachezaji wenzake wapya wakati wa Semina ya ndani ya wachezaji na benchi la ufundi kuhusu…
MAJALIWA AZUNGUMZA NA WANA CCM WA WILAYA ZA KIGOMA MJINI NA KIGOMA VIJIJINI
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Mbunge wa Kigoma Vijijini, Peter…
WATANZANIA WAHAMASISHWA KUTEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII NCHINI ILI KUKUZA UTALII WA NDANI
Chama cha Walimu (CWT) Jiji la Dodoma kimewataka Watanzania kujenga utamaduni wa kutembelea vivutio vya Utalii ili kukuza Utalii wa ndani hapa nchini Tanzania…
MBOZI SASA YAKUNA VICHWA JUU YA NAMNA YA KUPUNGUZA TAKA MJINI
Timu ya wataalamu wa Halmashauri ya wilaya ya Mbozi wakijadiliana jambo katika moja ya maeneo yanayopendekezwa kuwa Dampo katika Halmashauri hiyo. Wataalamu wa Halmashauri…
ZIARA YA MAFUNZO 5S-KAIZEN KWA WAGENI KUTOKA WIZARA YA AFYA NA WATUMISHI YA BANGLADESH
Muuguzi Mkuu – Hospital ya Rufaa ya Mkoa- Amana,Beauty Mwambebule akitoa maelezo kwa wageni kutoka nchi ya Bangladesh namna mfumo wa KAIZEN unavyofanya kazi…
MAJALIWA AKABIDHI MSAADA WA SH. MILIONI 2.5 KWA MJASIRIAMALI WA KIGOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Bw. Leonard Nkamba wa kijiji cha Kambanga wilayani Kasulu msaada wa sh. milioni 2.5 ili zimwezesha kununua vitendea kazi…
SERA YA VIWANDA YASAIDIA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA
MKAZI wa kijiji cha Kabanga wilayani Kasulu mkoani Kigoma, Leonard Nkamba anayejishughulisha na uchongaji wa vyombo mbalimbali vya jikoni ameishukuru Serikali kwa kuanzisha sera…
LUGOLA AAGIZA POLISI KUWASAKA WANAOTOA TAARIFA ZA UONGO KUTEKWA, KUPOTEA KWA WATU NCHINI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na wananchi wa Mji Mdogo wa Kisorya, Jimbo la Mwibara, Wilayani Bunda, leo, katika…
MASAUNI ATEMBELEA KIWANDA CHA GEREZA BUTIMBA JIJINI MWANZA
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaa mavazi ya kiraia), akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa na wafungwa katika Gereza…
WATUMISHI WA CHALIWASA WAASWA KUWA NA NIDHAMU NA LUGHA RAFIKI KWA WATEJA
NA MWAMVUA MWINYI,CHALINZE BAADHI ya watumishi wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Chalinze, (CHALIWASA) wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, wameaswa kuwa…
SAKATA LA KODI YA PANGO LA ARDHI LAZIDI KUWA CHUNGU KWA BAADHI YA KAMPUNI MWANZA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na Mmiliki wa shule za Musabe zilizoko mkoani Mwanza Daniel Musabe…
SERIKALI KUOKOA BILIONI 25 KIGOMA ZA KUZALISHA UMEME
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, akisaini kitabu cha wageni katika kituo cha kuzalisha umeme, alipofanya ziara ya kukagua utendaji kazi katika kituo hicho.…